Wito wa Maandamano makubwa kulaani Serikali kushindwa kuleta maji ya uhakika kwa miaka 60

Zaidi ya 79% ni vijana ambao wamezaliwa hovyo na hawana kipato chichote cha kulipa kodi.
Hapo sasa ndio juhudi kubwa zilikuwa zinahitajika kuwaandaa na kuwawezesha ili wawe nguvu kazi ya Taifa na waweze kuwa productivity force badala ya kuwa kizazi cha kuzagaa zagaa mijini bila kuwa na shughuli ya maana ya kufanya kwa ajili yao na Taifa lao.

Nanukuu maneno aliyosema Mwalimu- ili tuendelee tunahitaji Ardhi - watu- siasa safi na uongozi bora !! Sasa tujiulize je tumepungukiwa na nini ?!!
 
Sisi Watanzania bado akili na uthubutu vimelala. Subiri kwanza dumu la maji liuzwe kwa sh. 5000/- hapo ndipo akili zitatukaa sawa.
Na baada ya muda watu wa fursa haramu watagundua kuwa kumbe maji nayo yakikosekana tutapiga pesa za kutosha !!
 
Yote hayo ni ukweli mtupu,tunaumizwa bila sababu za msingi.CCM wamekosa ubunifu wa kuiletea nchi yetu maendeleo.
 
Itakuwa vema, majitu hayawezi kuongoza yanalazimisha uongozi
 
Tatizo la Tz sio uongozi bali ni wananchi kuweka uongozi wa kipuuzi na kisha hawawezi kuwawajibisha
Inasababishwa na katiba ambayo ilitengenezwa kipindi cha utawala wa chama kimoja ambayo haikuzingatia masuala mengi yanayohusu mfumo wa demokrasia ya vyama vingi !!
 
Inasababishwa na katiba ambayo ilitengenezwa kipindi cha utawala wa chama kimoja ambayo haikuzingatia masuala mengi yanayohusu mfumo wa demokrasia ya vyama vingi !!
Kwa hiyo hao wananchi wanasubiri nani awaletee katiba kwenye kisosi?
 
Umempa mtaji?.
Mtaji kipimo cha akili uwezo na maarifa.
Huhitaji mtaju wa fedha kulienda jambo ila unahitaji mtaji wa akili kwenda kuuza mawazo yako kwa watu ili wakupe fedha wakijiridhisha kuwa watapata faida mna kurudisha chao nawe kupata chako.
Akina Diamond hawakuwa na mitaji walivyoanza ila walikuwa na vipaji na mawazo na uwezo wa kufanya walichofanya leo wamefika pale walipo.
 
 
 
Acha porojo, toa Ratiba ya maandamano.
 
Wewe si mpiga pambio wa chui imekuwaje tena?
 
Mkwere ana msemo wake.. Anasemaga Watanzania huwa wanaongea tu.. Hawafanyi kitu.. Wataongea weeeh wakichoka wanaenda makwao kulala..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…