Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Wananchi wana hasira nyingi na nyinyi mnachukuliwa kama alama ya uovu wa serikali. Wengi wenu ni vijana wadogo mnaopewa maelekezo na maafande na mnafuata. Mna nafasi moja tu..tu ajua wapo askari wengi wazuri lakini hatuwajui ni kina nani hadi watakapoweka silaha chini.
Nawaita wekeni silaha zenu chini na wapeni vijana na ndugu zenu ulinzi kwani kuanzia sasa mnapokea maelekezo toka JWTZ. Kina Wambua na Murilo na wenzao waacheni wabebe msalaba wao. Msitolewe kafara kuipigania CCM. Ipiganieni nchi yenu baba na mama zenu, kaka zenu na dada zenu, na hawa wadogo zenu.
Nawaita tena wekeni silaha chini wazi wazi na raia watawaonea huruma. Na kuwapa heshima hata saa hii kuwa hatimaye mmeamua kusimama na wananchi. Mtakumbukwa.