G
guest-1790917349
Guest
Niitieni wale mbwa waliokuwa wanasema wanatikiThat's the way forward, waweke silaha chini, wakubali, nchi iingie kwenye mfumo mpya
Niitieni wale mbwa waliokuwa wanasema wanatikiThat's the way forward, waweke silaha chini, wakubali, nchi iingie kwenye mfumo mpya
HaswaaaNa bado tutawafurahisha zaidi tuliwaambia 2025 haendi mtu
Aliewashauli na kuwapa silaha hawa jama, sijui. Japo wengi wamekufa, ila kuna mama mmoja Tabata kisiwani kapigwa risasi kichwani, mbele ya mtoto wake wa kiume, tena mmoja tu. Mama,alikuwa muuza mkaa(Nasema alikuwa, kwa sababu kutokana na hali ilivyo, sidhani kama kuna uwezekano wa kupata msaada, na lisasi kichwani, bila usafili wala huduma).Wananchi wana hasira nyingi na nyinyi mnachukuliwa kama alama ya uovu wa serikali. Wengi wenu ni vijana wadogo mnaopewa maelekezo na maafande na mnafuata. Mna nafasi moja tu..tu ajua wapo askari wengi wazuri lakini hatuwajui ni kina nani hadi watakapoweka silaha chini.
Nawaita wekeni silaha zenu chini na wapeni vijana na ndugu zenu ulinzi kwani kuanzia sasa mnapokea maelekezo toka JWTZ. Kina Wambua na Murilo na wenzao waacheni wabebe msalaba wao. Msitolewe kafara kuipigania CCM. Ipiganieni nchi yenu baba na mama zenu, kaka zenu na dada zenu, na hawa wadogo zenu.
Nawaita tena wekeni silaha chini wazi wazi na raia watawaonea huruma. Na kuwapa heshima hata saa hii kuwa hatimaye mmeamua kusimama na wananchi. Mtakumbukwa.
Aaah, kumbe bado vimwananchi viko barabarani? Duh kwa kweli vimeamua! Poti wangu Mr. Njaa yuko wapi na kujikomba kwake kwa mazeri?Hapana,Ubungo hapa sahiz mabomu ya machozi yanaunguruma hatari
ujambo?Ss now ,iringa mjini,mafimga kimewakaaa
Dadeki
Mimi hapaNiitieni wale mbwa waliokuwa wanasema wanatiki
Mimi haoaNiitieni wale mbwa waliokuwa wanasema wanatiki
Wanatakiwa wote wapigwe utambiNiitieni wale mbwa waliokuwa wanasema wanatiki
Kutatokea machafuko kila siku, nchi haitatawalika. Kuweza kutawala itabidi waifanye Tanzania kama Korea ya Magharibi, Police state. Ila kwa Tanzania ilivyo haitawezekana.Yaani sioni namna gani na katika ulimwengu gani wanawarudisha Watanzania majumbani maishayaendelee
vita bado mbichi mpendwa.Mama walikuwa wanatuonq si matako