Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Amen to that!Wananchi wana hasira nyingi na nyinyi mnachukuliwa kama alama ya uovu wa serikali. Wengi wenu ni vijana wadogo mnaopewa maelekezo na maafande na mnafuata. Mna nafasi moja tu..tu ajua wapo askari wengi wazuri lakini hatuwajui ni kina nani hadi watakapoweka silaha chini.
Nawaita wekeni silaha zenu chini na wapeni vijana na ndugu zenu ulinzi kwani kuanzia sasa mnapokea maelekezo toka JWTZ. Kina Wambua na Murilo na wenzao waacheni wabebe msalaba wao. Msitolewe kafara kuipigania CCM. Ipiganieni nchi yenu baba na mama zenu, kaka zenu na dada zenu, na hawa wadogo zenu.
Nawaita tena weakening silaha chini wazi wazi na raia watawaonea huruma. Na kuwapa heshima hata saa hii kuwa hatimaye mmeamua kusimama na wananchi. Mtakumbukwa.
Hii akili kubwa sana MMK, ambayo naamini fomu foo felia hawawezi kuwa nayo! Wacha waendelee kushupaza shingo. Lakini nasikia sasa Dar kumeanza kuwa shwari?Wananchi wana hasira nyingi na nyinyi mnachukuliwa kama alama ya uovu wa serikali. Wengi wenu ni vijana wadogo mnaopewa maelekezo na maafande na mnafuata. Mna nafasi moja tu..tu ajua wapo askari wengi wazuri lakini hatuwajui ni kina nani hadi watakapoweka silaha chini.
Nawaita wekeni silaha zenu chini na wapeni vijana na ndugu zenu ulinzi kwani kuanzia sasa mnapokea maelekezo toka JWTZ. Kina Wambua na Murilo na wenzao waacheni wabebe msalaba wao. Msitolewe kafara kuipigania CCM. Ipiganieni nchi yenu baba na mama zenu, kaka zenu na dada zenu, na hawa wadogo zenu.
Nawaita tena wekeni silaha chini wazi wazi na raia watawaonea huruma. Na kuwapa heshima hata saa hii kuwa hatimaye mmeamua kusimama na wananchi. Mtakumbukwa.
Hapana,Ubungo hapa sahiz mabomu ya machozi yanaunguruma hatariHii akili kubwa sana MMK, ambayo naamini fomu foo felia hawawezi kuwa nayo! Wacha waendelee kushupaza shingo. Lakini nasikia sasa Dar kumeanza kuwa shwari?
Nilihisi hivyo, wanamtetea boss waoTiss wako na polisi na ndio wanaozidisha shida
Ushauri kuntu huu,Nawaita tena wekeni silaha chini wazi wazi na raia watawaonea huruma. Na kuwapa heshima hata saa hii kuwa hatimaye mmeamua kusimama na wananchi.
Ni Pete na kidole haoNilihisi hivyo, wanamtetea boss wao
Umeungana na sisi tena juzi ulitubeza?Amen to that!
Mama walikuwa wanatuonq si matakoUmenena kwa busara na hekima kabisa Mzee Mwanakijiji . Mwenye sikio na asikie
Shenzi hawa niliwaambia humu mmekariri eehUmeungana na sisi tena juzi ulitubeza?
Dar wengine tunewapelekea motoNilihisi hivyo, wanamtetea boss wao
Ss now ,iringa mjini,mafimga kimewakaaaHapana,Ubungo hapa sahiz mabomu ya machozi yanaunguruma hatari
Na bado tutawafurahisha zaidi tuliwaambia 2025 haendi mtuShenzi hawa niliwaambia humu mmekariri eeh
Kuna mdege imetoroka 2 hr a go
Mtarudusha tu