joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Polisi Kenya ni hafadhali ya Alshabaab wanaweza hurumia watu.Kuwasogezea chakula na kuweka utaratibu la sivyo kutalipuka kule!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi Kenya ni hafadhali ya Alshabaab wanaweza hurumia watu.Kuwasogezea chakula na kuweka utaratibu la sivyo kutalipuka kule!
Kweli inasikitishaWamejifungia bila kuangalia stock yao. Very sad
Mtani, serikali yetu tunaijua inaomba msaada just kujazilizia.ila ikiwa siku kuna uhitaji mkubwa wa haja, lazima kila mwananchi atajitoa kwa chochote.Hivi misaada ambayo serikali yenu iliwomba mumefikisha ngapi, maana nawajua kwa ubahili wenu mtakausha sana, labda Wahindi na Waarabu ndio watatoa hiyo misaada.
Oohooo hii ni hatari sana
Mtani, serikali yetu tunaijua inaomba msaada just kujazilizia.ila ikiwa siku kuna uhitaji mkubwa wa haja, lazima kila mwananchi atajitoa kwa chochote.
Kwa hiyo mtani ni kusema hutaki chakula chetu ama?
Moyoni unaipenda TzHivi misaada ambayo serikali yenu iliwomba mumefikisha ngapi, maana nawajua kwa ubahili wenu mtakausha sana, labda Wahindi na Waarabu ndio watatoa hiyo misaada.
Unaipenda sana Tz bhana wewe fara, wacha porojo mob.Naipenda Afrika, kwanza vitoto vya hili bara vyote vina msambwada, hamna bara nyingine utapata utamu wa nyama choma kwa ugali na wanawake wenye maumbo ya kupendeza kama humu, hivyo hamna taifa ninalochukia Afrika, labda sema nachukia tu tabia ya baadhi ya Waafrika, unakuta kwa mfano Watanzania ni wanafiki kwa kiwango cha lami, anakuamkia shikamoo, muda wote anakuita mkuu, ila ukigeuza kidogo tu atakusema vibaya kwa kila atakayemskliza.
Kwetu hapa, mtu akiwa na tatizo na wewe, anakuambia papo hapo bila kuremba.
Wakenya hamuandikiani kiswahili sababu majority yenu ni brainwashed.Yeah! Kupandishana mizuka na nyie humu JF hunisaidia kudumisha uandishi wa Kiswahili, maana kwa kweli hapa Kenya huwa hatuandikiani kwa Kiswahili kabisa, hehehe!! Hivyo huwa nasaka hoja ya kuwatibua ili mtiririke kama nzige, na kama kawaida huwa hamkawii, subiri nitinge kwenye jukwaa lenu la siasa nikatafute hoja ya kuileta huku.
Kuandikiana kwa Kiswahili ni mtihani maana chenyewe bado sana kwenye mambo mengi, ni kizuri tu kwenye kutupiana umbea lakini ukihitaji kukitumia kikazi huwa balaa.Wakenya hamuandikiani kiswahili sababu majority yenu ni brainwashed.
Mnaishia kuandikiana sheng na english, sheng for diminishing swahili, english for looking down on swahili.
Whilst if your leaders joined hands, swahili would be stronger than it is now.
Sent using Jamii Forums mobile app