Wivu kidogo katika mapenzi ni mzuri!

Wivu kidogo katika mapenzi ni mzuri!

Mkuu hawa hawaridhiki ukianza pekua simu atataka mpaka umwekee walinzi huko nnje na haitoshi atataka mpaka kuona ukimfumania utafanya nini mkuu mwanake akiona husikii uchungu analiwa voda anatoa na tigo kukukomoa. mbinu nzuri ya kumshinda ni kumwacha huru ila unamwambia siku nikikukamata na kosa aina hii ni hakuna msamaha over....
Umesomeka mkuu vizur Sana
 
Naunga mkono hoja yako kwa asilimia 💯.Upo sahihi kbsa mkuu.

Wivu kdgo Ni chachu ya Mapenzi.
 
Asee Yan umuonee wivu mtu mliejuana ukubwani ashakuwa na mapito yake na wew unayo yako ....ilimradi una take familia bas
 
Back
Top Bottom