Bila kusahau kaipa Roma taji la uropa conferenceMou alishinda la Liga RM wakati huo RM washapoteana la Liga. Nevertheless, Mou hapimwi akiwa RM, Ubora wa Mou unaonekana Porto, inter, manyu aliipa Europa wakati ishapoteana na spurs kaifikisha final. Aliifufua Chelsea as well. Pep kafufua timu gani?
Angalia maendeleo ya Porto, inter, Manyu, Spurs baada ya Mou kuondoka afu angalia maendeleo ya timu za Pep baada ya Pep kuondoka.
Ni nan .wingine anacheza tik tak football?Pep ni kocha mzuri sana, tatizo nyinyi washabiki wake maandazi muna mu overate sana na ndio mana munawa offend watu wengine, Eti Pep ni G.O.A.T Goat gani ndani ya miaka 10 iliyopita akiwa kwenye peak yake huku akifundisha timu bora zenye nyenzo zote amebeba Champion League mara 1?
Kuna mpuuzi mwengine nilikutana nae kwenye twitter majuzi analeta pumba kuwa Pep ni mvumbuzi wa mambo mengi kwenye game likiwemo stail ya tiki taka nilitamani kumzaba kibao kabisa.
Apo n kasemiro au casemiro tunaye mjua cc unitedAkanji £17million
Alvarez £15miilion
Halaand £60million
Jumla £92million
Hapo tumeuza zinchenko ,Jesus na sterling .....
Zinchenko alisajiliwa Kwa £1million ,kauzwa arsenal ..
Foden,palmer ,lewis ,Hawa wote ni academy
Kdb kasajiliwa na mancin £70million
Ake ,stone ,rodri ,walker ,Laporte ,gundo ,bernado silva ,ederson ....hao ni wachezaji ambao usajili wa kila mmoja haukufika hata £60 million ....
Kama huyo bernado silva mnayemuona katoka Monaco Kwa £40m [emoji23]
Hicho ndio kikosi cha man city .....
Lakin watu wanasema anatumia pesa nyingii[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikasema unitajie top 15 player epl waliosajiliwa Kwa pesa nyingi ,utakutana na mchezaji mmoja tu wa man city grealish....ilaa Sasa united [emoji23][emoji23]
Msimu tu umeoisha
Casemiro £80million
Antony £100million
Jumla £180m
Kama man city anatumia pesa kununua makombe basi united anatumia pesa kufelii [emoji23]
Ukifuatilia club kubwa yenye pesa ,sijui na vitu utatajuwa united ,ila ukija kwenye matumizi wanaisakizia man city [emoji23][emoji23][emoji23]
Katika top 10 ya wachezaji walionunuliwa Kwa bei kubwa epl huwezi kosa wachezaji wa united 4
Sancho £80 m
Antony £100m
Pogba £108m
Hayo yote ni magarasa ya united kutumia pesa nyingi huku wakitoka na zero trophies [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huwezi sikia wanasema ......
Msimu umeoisha chelsea katumia £600million kununua sterling,Enzo ,mud,cucurela ,fofana,madueke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wameishia nafasi ya 12th kwenye league..,,,hayo magarasa yote hakuna yanachoisaidia timu ...hakuna mtu anayesema kuwa hizo ni pesa [emoji23][emoji23][emoji23].....
United ni Moja ya timu inayotumua pesa [emoji23] lakin hakuna wanachoambulia zaidi ya kupoteza hela ,AKILI YA PESA HAWANA [emoji23][emoji23][emoji23]ndio maana wananunua wachezaji wa YouTube clip (Antony) Kwa pound million 100[emoji23][emoji23][emoji23] lakin hakuna mtu anayeweza kukuambia [emoji23][emoji23][emoji23].....ni Kwa sababu hayashindi kombe lolote ....
KAMA UNASEMA MAN CITY ANATUMIA PESA NYINGI NJOO NA DETAILS ZA HAYO MATUMIZI tubishane hoja Kwa hoja .....
Hakuna kocha ambaye hatumii pesa ,wala sijui kubana matumizi [emoji23]
Klopp aliwahi kusema "I will not spend £80millon for player " .....kamuulize NUNEZ kanunuliwa Kwa ngapi [emoji23][emoji23][emoji23]£100million ,,,,na hiyo ni Liverpool ambayo watu wanasema haitumii pesa [emoji23] lakin hawawezi kusema Hilo .......
Watu ni wajinga tu wanajificha kwenye kivuli cha pesa ,huyo mo hakuna timu yenye akili timamu inaweza mchukua morhno kuwa kocha ,ana mbinu za kizamani hataki kubadilika ,ndio maana hata Madrid hakuifikisha popote ....
Timu yeyote kubwa psg ,buyern ,Madrid , haziwezi sajili outdated kocha kama morhno kwenye modern football ambayo pep kashaibadilii [emoji23][emoji23].... respect to pep....anaenda na wakati ...hayupo kizamani kama mo muda wote ni kupark bus [emoji23].....
Huyo Wenger mnayemsema hana CL hata Moja ,ila Bado mnamuweka kwenye anga Moja na pep [emoji23][emoji23][emoji23]wtf,,arsenal ya invisible imeshindwa kuchukua CL ,harafu mnasema ujinga gani ....
Huyo Alex farguson kapigwa final mbili za CL na pep [emoji23],mpaka mkono unatetemeka ,[emoji23][emoji23][emoji23]hivi nyie watu ni wajinga kiasi gan mpaka mnalinganisha farguson na pep [emoji23].....
Farguson anajua moto wa pep ,kamuuliza , na pep Bado anatembeza fimbo mpaka Sasa balani ulaya Hao kina farguson washastafu na kawagonga mpaka wananyoosha mikono juu ,kama ni boxing basi farguson alipigwa ko na pep mpaka kustafu ngumi na kulazwa hospital mazima [emoji23]....
Pep yupo dunia yake kwenye ulimwengu wa football....
Mnasema anatumia pesa ni kocha gani hahitaji pesa kupata mafanikio , Carlo alivokuwa Everton alifanya nin [emoji23],kaenda Madrid Tena yenye pesa na kila kitu umeona alichofanya [emoji23]....
Hivi net spend ndo thamani ya kikosi au huelewi inapatikanaje. Mtu anaenunua wachezaji kila msimu net spend yake inaweza kuwa nzuri sababu anaweza kuwauza muda wowote kwa bei nzuri tu. Huyu katumia zaidi ya 1.6b ukichanganya na mishahara ya wachezaji wakati akirithi timu yenye De Bruyne Sterling Kompany Yaya Toure David Silva Aguero hakuna timu nyingine duniani inaweza kukupa hyo ela ukipewa hicho kikosi. Unazungumzia man utd kumnunua maguire kwa 80 lakini unasahau beki zote za guardiola jumla ya bei ni zaidi ya million 400 ndani ya kipindi cha miaka 7 tu. Hapo usisahau kughushi bei za wachezaji kwa kutaja bei feki na kutoa bonus za uongo na ukweli ili kukwepa sheria. Kwa mfano Halaand imeandikwa analipwa 350 kumbe kiuhalisia analipwa 800 plus huko kwa kudanganyia eti bonus ya appearance sijui sijui goli 10 kwa msimu sijui vimasharti vya kijinga hata martial anatimiza. Sometimes mtu ananunuliwa kwa 50 halafu timu inapewa kiwanja uarabuni( moja ya kesi 115 za ligi). Pep ni fraud mzee kataa hukubali huyu jmaa ni sell out tu lakini ana bahati anaendelea kupata timu nzuri tu na zinazomsikiliza tu na ziko vizuri ila vinginevyo aibu ingemkuta. Halafu wewe unazungumiza maguire kuflop lakini unasahau alivomleta stones mara ya kwanza aliflop kampani akamsave ule msimu msimu unaofuata sheikh daddy anamkabidhi ela nyingine akamchukue laporte na diaz( 63 + 65) leo hii kalvin philips kaflop lakini sababu aliongezwa wakati rodri yupo na stones kaongezea nguvu.Nimegundua watu wengi wana wivu mkubwa sana na Pep, hawataki kukubali. Wameshikilia msimamo wao kuwa anasajili wachezaji wazuri, hapohapo timu zao nao zinasajili wazuri lakini mafanikio hakuna.
Ukiangalia hapo kwenye takwimu, toka Pep aende uingereza Man Utd. na Chelsea wametumia pesa nyingi kuliko Man city. Man City pesa waliyotumia inafanana na Arsenal, lakini Pep na City yake wanaambiwa kwa sababu wanatumia pesa nyingi kusajili.
Thomas Partey alikuwa mchezaji muhimu kwa Atletico Madrid kuliko Rodri, leo hii Arsenal wanaachana na Partey. Huku Rodri akizidi kuwa bora. Ingekua vice versa, Pep kamchukua Partey halafu Arsenal wakamchukua Rodri bado kuna watu wangesema Pep anachukua walio bora.
Man Utd wameenda kutumia pesa nyingi kumnunua Maguire, City wanaenda kumnunua Ruben Dias. Hadi hapa shida sio pesa.
Chelsea wametumia pesa nyingi kuwanunua Enzo, Mudryk, Joao Felix. Hawa wote wame-flop, lakini hawa hawa angewapata Pep naamini wasingeflop na story ingebadilika kuwa Pep anachukua wachezaji walio wazuri.
View attachment 2663658
Casemiro kasajiliwa kutoka Madrid 70million with £10madds , total £80million ...hujui hata timu yako inasajili wachezaji bei gan [emoji23]Apo n kasemiro au casemiro tunaye mjua cc united
80? [emoji3][emoji3][emoji3]
Kaka ww n shabiki wa tim gani au ndo hiyo hiyo city
Usimtaje ferguson kwa huyo sell out wewe. Achukue treble akiwa na academy players 7+ nd aje aongee meza moja na babu.Mou kafundisha madrid, timu iliyokua na pesa na kila aina ya mchezaji. Mou alikua na wachezaji hawa: Ronaldo, Kaka, Ozil, Di Maria, Benzema, Higuain, Ramos, Pepe, Carvalho, Marcelo, Xabi Alonso. Mbona hakushinda makombe matatu?
Ferguson alifanya Anderson ashine? Kwani pep kawatoa vijana wangapi? Tena kwa kuwapa majukumu mazito na wakawa bora:
60 + 10add ons njoo utu uwe usitudanganyeCasemiro kasajiliwa kutoka Madrid 70million with £10madds , total £80million ...hujui hata timu yako inasajili wachezaji bei gan [emoji23]
Nyie man UTD Hao ni mchezaji gani mlishawahi kumuuza hata Kwa £60m[emoji23][emoji23]..Hivi net spend ndo thamani ya kikosi au huelewi inapatikanaje. Mtu anaenunua wachezaji kila msimu net spend yake inaweza kuwa nzuri sababu anaweza kuwauza muda wowote kwa bei nzuri tu. Huyu katumia zaidi ya 1.6b ukichanganya na mishahara ya wachezaji wakati akirithi timu yenye De Bruyne Sterling Kompany Yaya Toure David Silva Aguero hakuna timu nyingine duniani inaweza kukupa hyo ela ukipewa hicho kikosi. Unazungumzia man utd kumnunua maguire kwa 80 lakini unasahau beki zote za guardiola jumla ya bei ni zaidi ya million 400 ndani ya kipindi cha miaka 7 tu. Hapo usisahau kughushi bei za wachezaji kwa kutaja bei feki na kutoa bonus za uongo na ukweli ili kukwepa sheria. Kwa mfano Halaand imeandikwa analipwa 350 kumbe kiuhalisia analipwa 800 plus huko kwa kudanganyia eti bonus ya appearance sijui sijui goli 10 kwa msimu sijui vimasharti vya kijinga hata martial anatimiza. Sometimes mtu ananunuliwa kwa 50 halafu timu inapewa kiwanja uarabuni( moja ya kesi 115 za ligi). Pep ni fraud mzee kataa hukubali huyu jmaa ni sell out tu lakini ana bahati anaendelea kupata timu nzuri tu na zinazomsikiliza tu na ziko vizuri ila vinginevyo aibu ingemkuta. Halafu wewe unazungumiza maguire kuflop lakini unasahau alivomleta stones mara ya kwanza aliflop kampani akamsave ule msimu msimu unaofuata sheikh daddy anamkabidhi ela nyingine akamchukue laporte na diaz( 63 + 65) leo hii kalvin philips kaflop lakini sababu aliongezwa wakati rodri yupo na stones kaongezea nguvu.
Wewe hapa umeongopa haaland hajakulia city jpo baba ake alicheza hapo. Halafu ambacho hujui kuhusu haaland alikuwa mali ya Raiola sio dort na ndo maan solkjaer alikataa usajili wa haaland kipindi anaenda dortmund sababu mchezaji hawezi kuwa mali ya wakala hata siku moja.Kabla hujasema man city anapika vitabu ,vip kuhusu Dortmund,Kwa hiyo Dortmund na yeye kakubali kuingia kwenye list [emoji23]....
Haaland mnafikilia labda ni bahati mbaya kuja city ,....baba yake haaland ni man city damu damu , haaland Toka mdogo kakulia kwenye viunga vya Etihad ,baba yake haaland mji wa Manchester anajua vzuri haaland kakulia pale [emoji23]...
Kama unavoona mtoto wa foden anavojivaragua dressing room ,uwanjan ,kila Kona baba yake alipo na yeye yupo ndivo hivo haaland alivokuwa ,usije kufikilia mtoto wa foden akiwa star kwenye mpira Kuna nguvu itatumika kumshawishi kuichezea city ...
Kumwambia haaland kucheza aman city ni sawa na kumwambia " oyaa mwanangu turudi zetu nyumbani " ...
So ilikuwa very simple ...
Huyo Babu farguson anajua joto la pep ,[emoji23][emoji23] pigiwa mpira mpaka mtu anatetemeka hajui la kufanya .....Usimtaje ferguson kwa huyo sell out wewe. Achukue treble akiwa na academy players 7+ nd aje aongee meza moja na babu.
Pep fainal kama hakuchafua gaguro si jui manake kuna mda najua mlango ulifungua accidentally hasa ile ya DemarcoHuyo Babu farguson anajua joto la pep ,[emoji23][emoji23] pigiwa mpira mpaka mtu anatetemeka hajui la kufanya .....
Huyo farguson ni overrated ukija kwenye tactics pep ni anga zingine kabisa mzee [emoji23]
OLG alimkataa haaland? Unaakili wewe [emoji23],,huyo OLG analalamika mpaka leo board nzima ya united ilishindwa kumsupport kuhusu kumsajili haaland ...Wewe hapa umeongopa haaland hajakulia city jpo baba ake alicheza hapo. Halafu ambacho hujui kuhusu haaland alikuwa mali ya Raiola sio dort na ndo maan solkjaer alikataa usajili wa haaland kipindi anaenda dortmund sababu mchezaji hawezi kuwa mali ya wakala hata siku moja.
Wewe nd hujui unachosema kabisa. Watu tumeona inverted centre back kwa jaap hynckees ambayo alikuwa akiicheza Dante enzi hizo barca anakula 7 unakuja zungumzia pep miaka hii.Ni nan .wingine anacheza tik tak football?
Morhino ,klopp ,Carlo [emoji23][emoji23][emoji23]
Morhino -bus parking football
Klopp -gengen pressing football
Pep -tik tak football (more possession)
Carlo -total football (pressing and direct attacking)
Hii inverted midifilder anayocheza stone unajua Nan kaanzisha ...
Zinchenko nafasi anayocheza pale arsenal unaiona ile system,ni pep yule ....
Huenda nabishana na mbumbumbu wa football,....
Natamani niwe nabishana na kina ambangile wanaojua football [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie ni looser tu ,hakuna timu linechanganyikiwa kama united ..[emoji23][emoji23][emoji23]kina pogab wote wananunuliwa Kwa pesa kibao ,lukaku mapesa kibao ...wanaondoka free ...Mau Utd n GIANT club sio FEADER club.
Inanunua ma sta sio kuuza mastaa w hiyo city yako ime muuza nani 100
Cheki huyu kolooo dunia imejua tik tak football kupitia Barcelona ya pep ...[emoji23][emoji23]acha kulinganisha pep na hizo takataka za makocha mzee ...Wewe nd hujui unachosema kabisa. Watu tumeona inverted centre back kwa jaap hynckees ambayo alikuwa akiicheza Dante enzi hizo barca anakula 7 unakuja zungumzia pep miaka hii.