Wivu kwa Pep Guardiola unatokana na nini?

Wivu kwa Pep Guardiola unatokana na nini?

Nyie man UTD Hao ni mchezaji gani mlishawahi kumuuza hata Kwa £60m[emoji23][emoji23]..

Wachezaji wote mnaonunua Kwa gharama wanatoka free ...

Kuhusu kesi hizo ni haters tu ndio maana watu wenye akili timamu walishaachana na hizo tetes ushahidi hakuna ....

Bonus ...nambie Kuna timu gani haitoi bonus [emoji23],pale city Kuna bonus ndio tofauti na mshahara ...goal ,assist ,man of the match ....wote wanapewa bonus ....

Kama mshahara wa haaland ni 350k per week ,na kila week anafunga magoli zaid ya 3 ,MOTM yeye ,kwanin bonus asipate nyingi na kukusanya zaidi ya 800k Kwa week ....

Wewe ni mjinga kama unafikili timu hazitoi bonus nje ya mshahara,umechelewa kujua mpira , Liverpool,united ,Chelsea bonus kote zipooo sema ndio zinatofautina ...

Kuhusu pesa nishasema hakuna mtu ambaye hatumii pesa .....

Timu zote zinatumia pesa [emoji23]
Hakuna bonus man utd inaeza mpa mtu mshahara wa 800k kwa mwezi na haitokuja kutokea tena yeye masharti mepesi kindezi ndezi na hakuna timu nyingine inafanya hivo nd maan hii inachunguzwa. Hakuna anaekataa matumizi ya pesa au anaesema guardiola asitumie pesa ila matumizi ya hovyo ya pesa yakizidi halafu uje utupigie kelele eti wewe kocha bora huo ni umaandazi. Watu wanachukua treble n academy players 7+ ambao ni regulars kwenye kikosi cha kwanza usichukulie poa na mtu anaemwingiza mchezaji mmoja wa academy tena baada ya mchezaji alienunuliwa kuumia.
 
Unajua kwa nini city anataka kuboresha mkataba wa haaland, Utd sio tim ya kukuzia wachezaji ukawawekea vipengere vya tim ndogo.
Baada ya miaka 3 RM wakimtaka wanamchukua hicho n kipengele anacho kwenye mkataba wake kama ukibisha bac ww n msomaj mzuri wa magazet ya bongo na msikilizaji mzuri wa redio mbao za bongo ila kama n mfuatiliaji mzuri wa platform mbalimbali za michezo duniani nadhani hilo kaka utakua umekutana nalo
 
Wewe nd hujui unachosema kabisa. Watu tumeona inverted centre back kwa jaap hynckees ambayo alikuwa akiicheza Dante enzi hizo barca anakula 7 unakuja zungumzia pep miaka hii.
Huyu jamaa n shabiki mdogo sana pep hana jipya aisee
 
OLG alimkataa haaland? Unaakili wewe [emoji23],,huyo OLG analalamika mpaka leo board nzima ya united ilishindwa kumsupport kuhusu kumsajili haaland ...

Kwanza hakuna timu ambayo haaland anachukia kama united ,hata baba yake haaland kina Roy kean ndio waliomaliza career yake ya football,haipend united kudadekii hata kucheza Kwa 900k Kwa week [emoji23]
Wewe unachanganya mambo unaruka ruka sana. Ole alimtaka Haaland kwa million 4 akiwa anamtundisha molde fc norway akaomba maboss aje nae wao wakagoma. Mara ya pili ndo alivotoka Salzburg na ndo alipokutana na Raiola nd kipindi ambacho nimekuelekeza hapo Raiola alikuwa anammiliki haaland sio wakala tena.
 
Nyie ni looser tu ,hakuna timu linechanganyikiwa kama united ..[emoji23][emoji23][emoji23]kina pogab wote wananunuliwa Kwa pesa kibao ,lukaku mapesa kibao ...wanaondoka free ...

Sterling,Jesus ,zinchenko wote Hao tumeuza Kwa pesa nzuri ,....

Kina buzun ,lavia hawajacheza hata EpL kutoka tu academy na kuuza £12m kila mmoja ....

Nitajie mchezaji hat mmoja wa united mliyeuza hata £40m baada ya kucheza united hivi karibun[emoji23][emoji23][emoji23]
Lukaku ameuzwa kwa 70 kwenda inter ukibisha njoo na data.
 
Cheki huyu kolooo dunia imejua tik tak football kupitia Barcelona ya pep ...[emoji23][emoji23]acha kulinganisha pep na hizo takataka za makocha mzee ...
Tik tak kaka n juan kruff pole sana endelea kufuatilia nadhan miaka kazaa utakuja kua na kitu lakin saiz w n mweupe kabisa
 
Hakuna bonus man utd inaeza mpa mtu mshahara wa 800k kwa mwezi na haitokuja kutokea tena yeye masharti mepesi kindezi ndezi na hakuna timu nyingine inafanya hivo nd maan hii inachunguzwa. Hakuna anaekataa matumizi ya pesa au anaesema guardiola asitumie pesa ila matumizi ya hovyo ya pesa yakizidi halafu uje utupigie kelele eti wewe kocha bora huo ni umaandazi. Watu wanachukua treble n academy players 7+ ambao ni regulars kwenye kikosi cha kwanza usichukulie poa na mtu anaemwingiza mchezaji mmoja wa academy tena baada ya mchezaji alienunuliwa kuumia.
Kwa hiyo mchezaji kama anatupia magoli tuache kumpa bonus kisa nin[emoji23]

Kama pesa ipo si tunampa kama morali ,au umeambiwa anacheza Bure ?

Harafu nyie man united si mnasema ndio club kubwa tajiri dunian ...mbona mnaIalamika kuhusu pesa [emoji23] mnaona man city kama anawapiga gap ...

This is modern football wachezaji wanacheza kupata pesa ,wakistafu wanapesa sio kama Hao malengend wenu wanastafi mpira hata Kodi rashford ndio anawalipia [emoji23]

Haaland kuboresha mkataba wewe inakuuma nin ,au Sheria gani imevunjwa [emoji23]

Kuna muda mwingine wenye akili timamu wanawaona kama vilaza coz mnalalamika ujinga ...
 
Nyie ni looser tu ,hakuna timu linechanganyikiwa kama united ..[emoji23][emoji23][emoji23]kina pogab wote wananunuliwa Kwa pesa kibao ,lukaku mapesa kibao ...wanaondoka free ...

Sterling,Jesus ,zinchenko wote Hao tumeuza Kwa pesa nzuri ,....

Kina buzun ,lavia hawajacheza hata EpL kutoka tu academy na kuuza £12m kila mmoja ....

Nitajie mchezaji hat mmoja wa united mliyeuza hata £40m baada ya kucheza united hivi karibun[emoji23][emoji23][emoji23]
CR7 2008,
LUKAKU to inter.
Kwel ww nimeamini ni shabika mdogo sana
 
Cheki huyu kolooo dunia imejua tik tak football kupitia Barcelona ya pep ...[emoji23][emoji23]acha kulinganisha pep na hizo takataka za makocha mzee ...
Wewe tiki taka hata unaijua na waanzilishi akina nani. Spain national team miaka ya 2006 nd ilianzisha ukibisha njoo na data. Goli la kwanza kufungwa kwa system ya tiki taka ni goli la sergio ramos kwenye qualifying match dhidi ya Denmark mwaka 2007 ambapo wachezaji 9 walihusika kutengeneza pasi 28 na touches 65 ndani ya sekunde 75. Na ndo mfumo ulowapa spain ubingwa wa euro 2008 nd boss wenu kaiga sababu wachezaji wa barca na spain nd wale wale.
 
Jamaa hamna kitu na bado anachat hajui mambo na hasemi wala haulizi ma regend
Kwa mshabiki wa city ni kawaida yake maan anakuwa na utoto fulani hivi na mpira hajaufuatilia vizuri. Hapo hajui hata kusema city haijawahi kuwa mbaya tangu nunua nunua ianze kwa Mancini ila tu ferguson alikuwa hajaondoka na wenger na morinho alikuwa hajapoteza ubora na anceloti hakuzeeka nd maan alikuwa habebi kila msimu kama sahv anashindana na klopp peke ake.
 
Kwa hiyo mchezaji kama anatupia magoli tuache kumpa bonus kisa nin[emoji23]

Kama pesa ipo si tunampa kama morali ,au umeambiwa anacheza Bure ?

Harafu nyie man united si mnasema ndio club kubwa tajiri dunian ...mbona mnaIalamika kuhusu pesa [emoji23] mnaona man city kama anawapiga gap ...

This is modern football wachezaji wanacheza kupata pesa ,wakistafu wanapesa sio kama Hao malengend wenu wanastafi mpira hata Kodi rashford ndio anawalipia [emoji23]

Haaland kuboresha mkataba wewe inakuuma nin ,au Sheria gani imevunjwa [emoji23]

Kuna muda mwingine wenye akili timamu wanawaona kama vilaza coz mnalalamika ujinga ...
Si kwasababu man city haina legend timu ya juzi hapo hahaha. Sisi hatupingi mtu kutumia ela ila uwizi wa kulipa maela mengi ya wachezaji afu unaandika unalipa sawa na wenzio nd hatutaki. Apinge kwanza mashtka 115
 
Ni nan .wingine anacheza tik tak football?
Morhino ,klopp ,Carlo [emoji23][emoji23][emoji23]

Morhino -bus parking football

Klopp -gengen pressing football

Pep -tik tak football (more possession)

Carlo -total football (pressing and direct attacking)

Hii inverted midifilder anayocheza stone unajua Nan kaanzisha ...

Zinchenko nafasi anayocheza pale arsenal unaiona ile system,ni pep yule ....

Huenda nabishana na mbumbumbu wa football,....

Natamani niwe nabishana na kina ambangile wanaojua football [emoji23][emoji23][emoji23]

Maneno yangu yamedhihirika, na hivyo ndivyo mulivyo. Wengi wenu ni wapuuzi wa GEN Z ambao hamjui lolote lakini munajiona munajua kila kitu.
tik tak imekuwa ikichezwa Spain toka hata huyo Pep Hajabalehe bado wewe unaleta upuuzi kuwa eti yeye ndio muanzilishi. Pumbav kabisa.
 
Nimegundua watu wengi wana wivu mkubwa sana na Pep, hawataki kukubali. Wameshikilia msimamo wao kuwa anasajili wachezaji wazuri, hapohapo timu zao nao zinasajili wazuri lakini mafanikio hakuna.

Ukiangalia hapo kwenye takwimu, toka Pep aende uingereza Man Utd. na Chelsea wametumia pesa nyingi kuliko Man city. Man City pesa waliyotumia inafanana na Arsenal, lakini Pep na City yake wanaambiwa kwa sababu wanatumia pesa nyingi kusajili.

Thomas Partey alikuwa mchezaji muhimu kwa Atletico Madrid kuliko Rodri, leo hii Arsenal wanaachana na Partey. Huku Rodri akizidi kuwa bora. Ingekua vice versa, Pep kamchukua Partey halafu Arsenal wakamchukua Rodri bado kuna watu wangesema Pep anachukua walio bora.

Man Utd wameenda kutumia pesa nyingi kumnunua Maguire, City wanaenda kumnunua Ruben Dias. Hadi hapa shida sio pesa.

Chelsea wametumia pesa nyingi kuwanunua Enzo, Mudryk, Joao Felix. Hawa wote wame-flop, lakini hawa hawa angewapata Pep naamini wasingeflop na story ingebadilika kuwa Pep anachukua wachezaji walio wazuri.

View attachment 2663658
Mara zote kwenye maisha mwenye5 mafanikio huwa anachukiwa sana! Pep ni kocha ambaye kila klabu ingependa kumpata hapa duniani! Wivu, wivu, wivu, mwenzao nanazungumza uwanjani! Hawezi kujali jjinga wa machinga mitaani! Mmoja wa makocha bora kabisz duniani! Kule Ujerumani aliikuta Bayern timu ya kawaida tu, lakini misimu mitatu aliyokaa pale hali ilikuwa balaa, ni makombe tu!
 
Si kwasababu man city haina legend timu ya juzi hapo hahaha. Sisi hatupingi mtu kutumia ela ila uwizi wa kulipa maela mengi ya wachezaji afu unaandika unalipa sawa na wenzio nd hatutaki. Apinge kwanza mashtka 115
Sasa Kam mashitaki 115 yanamashiko si mahakama ingeshaamua ...

Mbona nyie ni wapumbavu tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmebaki huku mnajadili charge 115 ushahidi ni upi upeleke mahakamani ?

Leta ushahidi kesi iamuliwe

Leta ushahidi wa hizo payment maamuzi yaamuliwe ...

Mbona mnaongea tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Leta ushahidi
 
Hayo majinga united yanatumia pesa kila namna ,lakin masikin ya Mungu [emoji23][emoji23][emoji23]mpaka huruma ....hakuna wanachoambulia masikin ya Mungu ,wanaanza kumpanda pep et ndio anatumia pesa nyingi [emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa pep anavotumia pesa na kuwatesa ulaya ,wanachanganyikiwa ...

Endelea kuchanganyikiwa mpaka mkome [emoji23][emoji23][emoji23]pep nyoosha hizo pimbii mpaka zilie meeeee kama mbuzi ....
 
Mara zote kwenye maisha mwenye5 mafanikio huwa anachukiwa sana! Pep ni kocha ambaye kila klabu ingependa kumpata hapa duniani! Wivu, wivu, wivu, mwenzao nanazungumza uwanjani! Hawezi kujali jjinga wa machinga mitaani! Mmoja wa makocha bora kabisz duniani! Kule Ujerumani aliikuta Bayern timu ya kawaida tu, lakini misimu mitatu aliyokaa pale hali ilikuwa balaa, ni makombe tu!
Duu mwanzo nikajua unataka kuongea kitu cha maan dah hahahaha amka usingizini bayern ilikuwa imetoka kumkanda barca goli 7 nusu fainali ikaenda kubeba uefa na kukamilisha treble ya kijerumani ndipo mzee yule akastaafu akampisha pep we unaongea nn utakuwa umeingia juzi kweny hii uefa aliochukua city kushabiki mpira.
 
Sasa Kam mashitaki 115 yanamashiko si mahakama ingeshaamua ...

Mbona nyie ni wapumbavu tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmebaki huku mnajadili charge 115 ushahidi ni upi upeleke mahakamani ?

Leta ushahidi kesi iamuliwe

Leta ushahidi wa hizo payment maamuzi yaamuliwe ...

Mbona mnaongea tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Leta ushahidi
Wewe si mtoto wa juzi tulia tukuelekeze sisi wakongwe wa mpira. Mashtaka ya mpira sio kama mwizi wa kuku anashtakiwa hapo hapo Blatter moja ya makosa yaliyomtoa fifa ni rushwa ya mwaka 88 kabla hata hajawa rais wa fifa.
 
Back
Top Bottom