Wivu kwa Pep Guardiola unatokana na nini?

Anawatesa kwa kauefa kamoja wakati madrid alichukua uefa 5 kwenye miaka 7 unajua mpira kweli wewe?
 
Wewe si mtoto wa juzi tulia tukuelekeze sisi wakongwe wa mpira. Mashtaka ya mpira sio kama mwizi wa kuku anashtakiwa hapo hapo Blatter moja ya makosa yaliyomtoa fifa ni rushwa ya mwaka 88 kabla hata hajawa rais wa fifa.
Hakuna lolote ,tunajiamin ,tuna documents za kutosha ,tunawanasheria wa kutosha ...
Leta hizo kesi uchwara zinazopaishwa na Hao viraka wa united [emoji23]
 
Anawatesa kwa kauefa kamoja wakati madrid alichukua uefa 5 kwenye miaka 7 unajua mpira kweli wewe?
Wewe ndio hujui mpira ...

Mara united ni timu kubwa tajiri dunian ...hapo hapo city ndio wanatumia pesa nyingi [emoji23][emoji23][emoji23]

Mpaka nawaonea huruma msikin ya Mungu ,Hao grazers mpaka Sasa hawajui la kufanya pesa wanazo ila Kuna vilaza hawajui kuzitumia ...aisee ....kosa vyote ila sio akili [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa kuwa timu tajiri ni sawa na kumlamba miguu mwarabu atoe hela zake za mfukoni sisi ela tunajitafutia wenyewe glazers haeki hata 100
 
Sisi Liverpool hatumchukii Pep...
Liverpool tunaamini tungekuwa na bajeti Sawa na Man city wasingeshinda hata charity shield..
Ubingwa wa pep ni uzembe wa Liverpool kwenye Ku spend
 
Pep hajawahi fukuzwa hakuna team duniani inamfukuza PEP, yeye anaondoka mwenyewe mkataba ukiisha .
 
Bila kumsahau Frank Rjikard.
 
Mimi ni Barca fan na hiki unachosema nakazia 100%. Wengi wanasema Barca ya Pep ni tishio while Frank Rjikard aliunda ile timu ya Barca ikiwa ya moto, Pep akaja kuiendeleza tu.

Pep alimfanya Messi kuwa False 9, akamtoa Etoo, akamtoa Ibrahimovic n.k hawa top strikers ktk nyakati zao.

Timu ilipoanza kuyumba, akaona bora aachie ngazi. Akaenda Bayern ambapo tayari wana makombe, na kwa Man City tayari walikuwa na ufalme wao wameanza kuujenga pale EPL, City ya akina Toure, Da Silva, Jesus, Kun kun Aguero, Vincent Kompany, wakaja akina Balotel n.k kwanza ile Man City ilikuwa ya moto ina watu kuliko hii.
 
Una hoja ila post kama mtu mzima, achana na emoj, emoj ni nyingi sana.
 
Wakatu mnasema pep angekuwa timu ndogo kama burnely,hata huyo farguson mpeleken timu ndogo kama Southampton....

Kama mnasema pep anataka timu kubwa ,mwambien klopp aende Norwich city ,..

Carlo ancelot alikuwa everton alifanya nin ?

issue ni kuwa hapa tunaongelewa tactics kwenye football uwe na pesa au usiwe na pesa ....

Huyo klopp hapewi pesa kusajili wachezaji ?

Ten hag pesa si kapewa ?

Lampard pesa katumia sanaa ..

Arteta pesa kapewa ..

Wote pesa wanapewa pesa ila utofauti unakuja kwenye kuchagua wachezaji na kuwatumia ...

Ukinambia man city anatumia pesa lazima nirudi kwenye kikosi kuona wachezaji wamesajiwa Kwa kiasi gani ,linganisha na kikosi cha team zingine ....

Ukinambia city anatumia pesa wakati huo huo Chelsea inasajili kina fofana Kwa £80m ,Enzo £106m ,madueke ,sterling ,.....man UTD inatumia pesa kama zile , Liverpool kanunua Nunez Kwa 100m ,,,harafu unakuja kusema man city anatumia pesa kwa kumnunua haaland kwa £60m , Alvarez £17m,akanji£17m,,Phillips £45m ....lazima nikuone kilaza .....

Vinginevyo unakuwa na chukua binafsi na sio kingine ....

Unavosema pep aende timu ndogo ,wambie kina Carlo ,morhno ,klopp ,ten hag ,waende ku manage Luton ,au burnely huko tuone kama wataenda

Vitu vingine vinachekesah aisee ...

Katika watu ambao huwezi nambia ni morhnoo ,kafukuzwa united ,kafukuzwa spurs ,timu zote kubwa mo kapita lakin hana tactics, dressing room tu inamshinda kumanage ...
 
Hakika hizi nyundo cjui nan mwingne atasogeza pua yake hapa
 
Chuki ya pep ni kwa Africa nzima. Hapendi wachezaji weusi. Huwa anasajili ili tu abalance lawama. Lakini kwa ufundi wa soka na mbinu Pep ni mkali. Pia hataki player lonya.
 
Kocha Bora ni klopp tu Bas!!hao wengine no pesa tu!!
 
Barcelona na Bayern Munich kulikua na oil money???
 

Hall of fame huwezi kuwa inducted wakati bado upo kazini unafundisha. Hata pep akistafu atakuwa inducted.

Pia ferguson hakuwa na bajeti ndogo. Enzi za ferguson manchester united ndio ilikuwa timu namba moja kwa utajiri EPL na pia ndio timu iliyokuwa na kikosi cha gharama sana EPL. Ferguson alikuwa akimtaka mchezaji yeyote EPL anamnunua na hata mshahara anampa offer nono ya mshahara mkubwa sana. Hao kina rooney , ferdinand, hawakwenda man utd kwa bahati mbaya
 

Hivi hawa walienda man utd kwa pesa ndogo sio? Berbatov, Rio, veron, carrick , rooney, Nisteroly !! Hawa wote kwa kipindi kile hela walizosajiliwa zilikua kubwa tatizo unazifananisha na kipindi hiki
 

Unajua anderson alikuja kwa shingap pale man utd?? Wewe mpira unaonekana hujuiii. Anderson man utd wametoa pesa ndefu sana kipindi kile then unasema hana namba hata tukuyu stars!!
 
SAF has entered the chat
 

Attachments

  • IMG_5331.jpeg
    15 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…