Kamuulize fergie mwenyewe kuhusu hiloPep angepewa timu kama Arsenal yenye Ufinyu wa bajeti kwenye matumizi yake - basi angekuwa kocha wa kawaida kama Roberto De Zebri.
Anabahatika kufanya kazi katika nyakati ambazo oil money inawekezwa kwenye soka.
Kimsingi kwangu sioni kama ni kocha bora kuliko Sir Alex Farguson au Arsene Wenger. (These guys wali uheshimisha mpira wa miguu pasi na kutumia oil money, ndio maana ni makocha pekee kuwa inducted kwenye EPL hall of fame).
View attachment 2663734
Sikuizi kila team ina wachezaji kale ka porto si kalibahatisha tuMishahara yao je?
Hakuna timu Pep kaenda ambayo haikushinda makombe miaka 3 kabla na baada ya Pep. Man city was on the way up hata kabla ya ujio wa Pep. Ni kama Steve Karr na GSW.
Mou alishinda UCL na Porto na aliposepa Porto imepoteana kabisa, vile vile Inter imebaki kuhangaika tu Serie A.
Fergie alifanya hadi Anderson a-shine wakati hata Tukuyu stars angekosa namba.
Wenger literally built Arsenal na kushinda invincible.
Pep is good but not the best. Fergie, Wenger, Mou ni bora zaidi in their prime.
Tuanze na ake akanji stone wate ni average players kabisaMou kafundisha madrid, timu iliyokua na pesa na kila aina ya mchezaji. Mou alikua na wachezaji hawa: Ronaldo, Kaka, Ozil, Di Maria, Benzema, Higuain, Ramos, Pepe, Carvalho, Marcelo, Xabi Alonso. Mbona hakushinda makombe matatu?
Ferguson alifanya Anderson ashine? Kwani pep kawatoa vijana wangapi? Tena kwa kuwapa majukumu mazito na wakawa bora:
Mkataba ni Siri,wewe uliona wapi huo mkataba??Unajua kwa nini city anataka kuboresha mkataba wa haaland, Utd sio tim ya kukuzia wachezaji ukawawekea vipengere vya tim ndogo.
Baada ya miaka 3 RM wakimtaka wanamchukua hicho n kipengele anacho kwenye mkataba wake kama ukibisha bac ww n msomaj mzuri wa magazet ya bongo na msikilizaji mzuri wa redio mbao za bongo ila kama n mfuatiliaji mzuri wa platform mbalimbali za michezo duniani nadhani hilo kaka utakua umekutana nalo
Achukue tu kombe la duniaNatamani Gadiola apate timu ya Taifa kwani hadi sasa kwenye vilabu hadaiwi chochote. Wanaobisha kuwa si kocha bora ipo siku watakubali tu hasa akiweza kuchukua world cup maana ndiyo kikombe pekee kilichobakia mwamba anadaiwa...
Klop anaenunua nunez kwa 100€Kocha Bora ni klopp tu Bas!!hao wengine no pesa tu!!
Unajua anderson alikuja kwa shingap pale man utd?? Wewe mpira unaonekana hujuiii. Anderson man utd wametoa pesa ndefu sana kipindi kile then unasema hana namba hata tukuyu stars!!
64 sema Benfica ni tough negotiator sana!!Klop anaenunua nunez kwa 100€
Kumbe Kdb alisajiliwa na Mancini?Akanji £17million
Alvarez £15miilion
Halaand £60million
Jumla £92million
Hapo tumeuza zinchenko ,Jesus na sterling .....
Zinchenko alisajiliwa Kwa £1million ,kauzwa arsenal ..
Foden,palmer ,lewis ,Hawa wote ni academy
Kdb kasajiliwa na mancin £70million
Ake ,stone ,rodri ,walker ,Laporte ,gundo ,bernado silva ,ederson ....hao ni wachezaji ambao usajili wa kila mmoja haukufika hata £60 million ....
Kama huyo bernado silva mnayemuona katoka Monaco Kwa £40m [emoji23]
Hicho ndio kikosi cha man city .....
Lakin watu wanasema anatumia pesa nyingii[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikasema unitajie top 15 player epl waliosajiliwa Kwa pesa nyingi ,utakutana na mchezaji mmoja tu wa man city grealish....ilaa Sasa united [emoji23][emoji23]
Msimu tu umeoisha
Casemiro £80million
Antony £100million
Jumla £180m
Kama man city anatumia pesa kununua makombe basi united anatumia pesa kufelii [emoji23]
Ukifuatilia club kubwa yenye pesa ,sijui na vitu utatajuwa united ,ila ukija kwenye matumizi wanaisakizia man city [emoji23][emoji23][emoji23]
Katika top 10 ya wachezaji walionunuliwa Kwa bei kubwa epl huwezi kosa wachezaji wa united 4
Sancho £80 m
Antony £100m
Pogba £108m
Hayo yote ni magarasa ya united kutumia pesa nyingi huku wakitoka na zero trophies [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huwezi sikia wanasema ......
Msimu umeoisha chelsea katumia £600million kununua sterling,Enzo ,mud,cucurela ,fofana,madueke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wameishia nafasi ya 12th kwenye league..,,,hayo magarasa yote hakuna yanachoisaidia timu ...hakuna mtu anayesema kuwa hizo ni pesa [emoji23][emoji23][emoji23].....
United ni Moja ya timu inayotumua pesa [emoji23] lakin hakuna wanachoambulia zaidi ya kupoteza hela ,AKILI YA PESA HAWANA [emoji23][emoji23][emoji23]ndio maana wananunua wachezaji wa YouTube clip (Antony) Kwa pound million 100[emoji23][emoji23][emoji23] lakin hakuna mtu anayeweza kukuambia [emoji23][emoji23][emoji23].....ni Kwa sababu hayashindi kombe lolote ....
KAMA UNASEMA MAN CITY ANATUMIA PESA NYINGI NJOO NA DETAILS ZA HAYO MATUMIZI tubishane hoja Kwa hoja .....
Hakuna kocha ambaye hatumii pesa ,wala sijui kubana matumizi [emoji23]
Klopp aliwahi kusema "I will not spend £80millon for player " .....kamuulize NUNEZ kanunuliwa Kwa ngapi [emoji23][emoji23][emoji23]£100million ,,,,na hiyo ni Liverpool ambayo watu wanasema haitumii pesa [emoji23] lakin hawawezi kusema Hilo .......
Watu ni wajinga tu wanajificha kwenye kivuli cha pesa ,huyo mo hakuna timu yenye akili timamu inaweza mchukua morhno kuwa kocha ,ana mbinu za kizamani hataki kubadilika ,ndio maana hata Madrid hakuifikisha popote ....
Timu yeyote kubwa psg ,buyern ,Madrid , haziwezi sajili outdated kocha kama morhno kwenye modern football ambayo pep kashaibadilii [emoji23][emoji23].... respect to pep....anaenda na wakati ...hayupo kizamani kama mo muda wote ni kupark bus [emoji23].....
Huyo Wenger mnayemsema hana CL hata Moja ,ila Bado mnamuweka kwenye anga Moja na pep [emoji23][emoji23][emoji23]wtf,,arsenal ya invisible imeshindwa kuchukua CL ,harafu mnasema ujinga gani ....
Huyo Alex farguson kapigwa final mbili za CL na pep [emoji23],mpaka mkono unatetemeka ,[emoji23][emoji23][emoji23]hivi nyie watu ni wajinga kiasi gan mpaka mnalinganisha farguson na pep [emoji23].....
Farguson anajua moto wa pep ,kamuuliza , na pep Bado anatembeza fimbo mpaka Sasa balani ulaya Hao kina farguson washastafu na kawagonga mpaka wananyoosha mikono juu ,kama ni boxing basi farguson alipigwa ko na pep mpaka kustafu ngumi na kulazwa hospital mazima [emoji23]....
Pep yupo dunia yake kwenye ulimwengu wa football....
Mnasema anatumia pesa ni kocha gani hahitaji pesa kupata mafanikio , Carlo alivokuwa Everton alifanya nin [emoji23],kaenda Madrid Tena yenye pesa na kila kitu umeona alichofanya [emoji23]....
mancin alitengeneza njia ,maana alitoka deal lishakamilka ,2015 pellegain akamsain kdb kutoka Wolfsburg ,Kumbe Kdb alisajiliwa na Mancini?
Sasa ulikuwa hujuiKumbe Kdb alisajiliwa na Mancini?
Klopp hatumii pesa?Kocha Bora ni klopp tu Bas!!hao wengine no pesa tu!!
Umeandika uongo. Usifanye wengine tulikua hatufatilii. Rijkaard alitengeneza barca kupitia ronaldinho, deco, etoo. Pep alitengeneza barca kupitia xavi, iniesta na Messi.Mimi ni Barca fan na hiki unachosema nakazia 100%. Wengi wanasema Barca ya Pep ni tishio while Frank Rjikard aliunda ile timu ya Barca ikiwa ya moto, Pep akaja kuiendeleza tu.
Pep alimfanya Messi kuwa False 9, akamtoa Etoo, akamtoa Ibrahimovic n.k hawa top strikers ktk nyakati zao.
Timu ilipoanza kuyumba, akaona bora aachie ngazi. Akaenda Bayern ambapo tayari wana makombe, na kwa Man City tayari walikuwa na ufalme wao wameanza kuujenga pale EPL, City ya akina Toure, Da Silva, Jesus, Kun kun Aguero, Vincent Kompany, wakaja akina Balotel n.k kwanza ile Man City ilikuwa ya moto ina watu kuliko hii.
Unataka liver aspend vipi? Kanunua wachezaji wazuri wengi tuSisi Liverpool hatumchukii Pep...
Liverpool tunaamini tungekuwa na bajeti Sawa na Man city wasingeshinda hata charity shield..
Ubingwa wa pep ni uzembe wa Liverpool kwenye Ku spend
Kutumia pesa kunahitaji akili. Mimi ni man utd, angalia pesa tulizotumia kuwanunua.Si kwasababu man city haina legend timu ya juzi hapo hahaha. Sisi hatupingi mtu kutumia ela ila uwizi wa kulipa maela mengi ya wachezaji afu unaandika unalipa sawa na wenzio nd hatutaki. Apinge kwanza mashtka 115
We unajua kwa nn Manchester city inachunguzwa kwa kukiuka sheria za usajili za FIFA financial fair play we una amini kweli city ametumia hela hyo.Nimegundua watu wengi wana wivu mkubwa sana na Pep, hawataki kukubali. Wameshikilia msimamo wao kuwa anasajili wachezaji wazuri, hapohapo timu zao nao zinasajili wazuri lakini mafanikio hakuna.
Ukiangalia hapo kwenye takwimu, toka Pep aende uingereza Man Utd. na Chelsea wametumia pesa nyingi kuliko Man city. Man City pesa waliyotumia inafanana na Arsenal, lakini Pep na City yake wanaambiwa kwa sababu wanatumia pesa nyingi kusajili.
Thomas Partey alikuwa mchezaji muhimu kwa Atletico Madrid kuliko Rodri, leo hii Arsenal wanaachana na Partey. Huku Rodri akizidi kuwa bora. Ingekua vice versa, Pep kamchukua Partey halafu Arsenal wakamchukua Rodri bado kuna watu wangesema Pep anachukua walio bora.
Man Utd wameenda kutumia pesa nyingi kumnunua Maguire, City wanaenda kumnunua Ruben Dias. Hadi hapa shida sio pesa.
Chelsea wametumia pesa nyingi kuwanunua Enzo, Mudryk, Joao Felix. Hawa wote wame-flop, lakini hawa hawa angewapata Pep naamini wasingeflop na story ingebadilika kuwa Pep anachukua wachezaji walio wazuri.
View attachment 2663658
Sahihi kabisa ndio maana Bayern's Munich walimtimua aliposhindwa kuchukua UEFA champions league.Pep angepewa timu kama Arsenal yenye Ufinyu wa bajeti kwenye matumizi yake - basi angekuwa kocha wa kawaida kama Roberto De Zebri.
Anabahatika kufanya kazi katika nyakati ambazo oil money inawekezwa kwenye soka.
Kimsingi kwangu sioni kama ni kocha bora kuliko Sir Alex Farguson au Arsene Wenger. (These guys wali uheshimisha mpira wa miguu pasi na kutumia oil money, ndio maana ni makocha pekee kuwa inducted kwenye EPL hall of fame).
View attachment 2663734
Muongo wakati anabeba ligi kuu na uefa wachezaji ambao hakuwasajili yeye ni hawa;-firminho, henderson,milner,trent,lallana, hao aliwakuta!Klopp hatumii pesa?
Angaalia hawa aliowasajili tokea ameenda liver
1)Ederson
2)Robertson
3)Van dijk
4)matip
5)l
6) konate
7)wijnaldum
8) Chamberlain
9)Thiago
10)mane
11)salah
12)naby keita
13)fabinho
14)minamino
15)diogo jota
16)luiz diaz
17) Darwin Nunez
18)Cody gakpo
Pale liver first eleven mchezaji ambaye hajamsajili ni Trent tu. Waliobaki wote kaingia sokoni