Wivu kwa Pep Guardiola unatokana na nini?

Muongo wakati anabeba ligi kuu na uefa wachezaji ambao hakuwasajili yeye ni hawa;-firminho, henderson,milner,trent,lallana, hao aliwakuta!

Wakati hayo yakifanyika;-alikua anauza na kununua ILI kubalansi kitabu!!
Firmino na milner wameenda kipindi cha klopp (2015)

Nimeweka list ya wachezaji wengi wazuri ambao klopp amewasajili, maana inataka kuonekana klopp huwa hasajil

Kuna timu inasajili tu na haiuzi?
 
Ni wapumbavu na mazuzu pekee ndio yatapinga hili, Manchester united ndio wana wivu hadi nyesi linawabana
 
Huu uzi mods waufunge umemaliza kila kitu!
 
Alitengeneza njia kivipi Mancini kaondoka City lini na City imemnunua KDB lini?
Mancin si kaondoka 2014 pellegain kaingia 2015,na ndio kdb kaja..

Txiki ndio kila kitu kwenye usajili Toka 2014 mancin anaingia mgogoro na nae , kdb alikuwa kwenye radar za man city ...

Kdb Yuko Wolfsburg anaiharibu buyern munich ya pep tkix yupo kule anamcheki ,mancin anaondoka 2014 ,Manuel pellegrain anaingia 2015 txiki anamleta kdb ,,,

Ndio maana nasema pale city watu wanampa sifa pep tu ,ila huyu mnyama akiondoka city (Txiki) ndio anguko litakapoanzia ...
 
Nilikua sijui bwana, kwaiyo 2015 kocha wa Man city alikua Mancini? Na ndo alimnunua KDB? oh waooo!! Siku zote nilidhani ni Pellegrini....mpaka hapa nadhani umeanza kuishabikia city 2020.
Kuna ubaya?
 
Sisi Liverpool hatumchukii Pep...
Liverpool tunaamini tungekuwa na bajeti Sawa na Man city wasingeshinda hata charity shield..
Ubingwa wa pep ni uzembe wa Liverpool kwenye Ku spend

Tatizo la Liverpool sio ku spend bali ni spending mbovu, Unalipaje 60m kwa keita? unalipaje 80 kwa nunez? na bado munajiona hamu spend
 

unaowaona hao wapuuzi walivyo hivyo mkuu, ni watu wa ovyo sana.
 
Chuki ya pep ni kwa Africa nzima. Hapendi wachezaji weusi. Huwa anasajili ili tu abalance lawama. Lakini kwa ufundi wa soka na mbinu Pep ni mkali. Pia hataki player lonya.

dah unatia aibu mkuu, watu weusi bana ovyo kabisa mambo yetu
 

Dah wewe bore tuku ignore tu, si kwa utombo huo
 
Mmh! Kabla hajaja epl siwalisema anafundisha ligi dhaifu hawezipata mafanikio ligi ngumu kama epl kulikon tena?
 
Mmh! Kabla hajaja epl siwalisema anafundisha ligi dhaifu hawezipata mafanikio ligi ngumu kama epl kulikon tena?
Watu weng fatilia wanaompinga sana Pep amewasurubu vikali team zao (Ikiwemo mzee wao Fergie karbia kufa na presha[emoji23]) .. Hata kama ni ww utampenda mtu anaye kusurubu kila mara kweli?

Wao wamejificha kwny hoja nyepes sana sik iz lkn hao wote ni haters wakubwa kwa sbb wamesurubiwa bila huruma na team za Pep.
 
Mtu anakuja na hoja nyepes eti Pep apewe Arsenal tuone kama anaweza kuipa mafanikio... Pep sio kocha wa kariba ya kuifundisha Arsenal ana standards zake.

Mbona hawasemi khs Fergie na Wenger kua wamekaa team moja tu hawajatafuta changamoto pengne.

Yan hawa weng wanakua hawatak kukubal ubora wa pep kwa sbb katembeza kichapo cha bila huruma kwa team zao pendwa.

Wkt Kuna tetes za pep kuja England babu yao Fergie alisema pep won't find it easy in the PL lkn leo hii pep kageuza ligi ya England kua ya wakulima kua ya team moja.

Kama ni kuspend pesa Man U wame spend sana hela mbn hawabebi chochote cha maana tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…