Akanji £17million
Alvarez £15miilion
Halaand £60million
Jumla £92million
Hapo tumeuza zinchenko ,Jesus na sterling .....
Zinchenko alisajiliwa Kwa £1million ,kauzwa arsenal ..
Foden,palmer ,lewis ,Hawa wote ni academy
Kdb kasajiliwa na mancin £70million
Ake ,stone ,rodri ,walker ,Laporte ,gundo ,bernado silva ,ederson ....hao ni wachezaji ambao usajili wa kila mmoja haukufika hata £60 million ....
Kama huyo bernado silva mnayemuona katoka Monaco Kwa £40m [emoji23]
Hicho ndio kikosi cha man city .....
Lakin watu wanasema anatumia pesa nyingii[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikasema unitajie top 15 player epl waliosajiliwa Kwa pesa nyingi ,utakutana na mchezaji mmoja tu wa man city grealish....ilaa Sasa united [emoji23][emoji23]
Msimu tu umeoisha
Casemiro £80million
Antony £100million
Jumla £180m
Kama man city anatumia pesa kununua makombe basi united anatumia pesa kufelii [emoji23]
Ukifuatilia club kubwa yenye pesa ,sijui na vitu utatajuwa united ,ila ukija kwenye matumizi wanaisakizia man city [emoji23][emoji23][emoji23]
Katika top 10 ya wachezaji walionunuliwa Kwa bei kubwa epl huwezi kosa wachezaji wa united 4
Sancho £80 m
Antony £100m
Pogba £108m
Hayo yote ni magarasa ya united kutumia pesa nyingi huku wakitoka na zero trophies [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huwezi sikia wanasema ......
Msimu umeoisha chelsea katumia £600million kununua sterling,Enzo ,mud,cucurela ,fofana,madueke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wameishia nafasi ya 12th kwenye league..,,,hayo magarasa yote hakuna yanachoisaidia timu ...hakuna mtu anayesema kuwa hizo ni pesa [emoji23][emoji23][emoji23].....
United ni Moja ya timu inayotumua pesa [emoji23] lakin hakuna wanachoambulia zaidi ya kupoteza hela ,AKILI YA PESA HAWANA [emoji23][emoji23][emoji23]ndio maana wananunua wachezaji wa YouTube clip (Antony) Kwa pound million 100[emoji23][emoji23][emoji23] lakin hakuna mtu anayeweza kukuambia [emoji23][emoji23][emoji23].....ni Kwa sababu hayashindi kombe lolote ....
KAMA UNASEMA MAN CITY ANATUMIA PESA NYINGI NJOO NA DETAILS ZA HAYO MATUMIZI tubishane hoja Kwa hoja .....
Hakuna kocha ambaye hatumii pesa ,wala sijui kubana matumizi [emoji23]
Klopp aliwahi kusema "I will not spend £80millon for player " .....kamuulize NUNEZ kanunuliwa Kwa ngapi [emoji23][emoji23][emoji23]£100million ,,,,na hiyo ni Liverpool ambayo watu wanasema haitumii pesa [emoji23] lakin hawawezi kusema Hilo .......
Watu ni wajinga tu wanajificha kwenye kivuli cha pesa ,huyo mo hakuna timu yenye akili timamu inaweza mchukua morhno kuwa kocha ,ana mbinu za kizamani hataki kubadilika ,ndio maana hata Madrid hakuifikisha popote ....
Timu yeyote kubwa psg ,buyern ,Madrid , haziwezi sajili outdated kocha kama morhno kwenye modern football ambayo pep kashaibadilii [emoji23][emoji23].... respect to pep....anaenda na wakati ...hayupo kizamani kama mo muda wote ni kupark bus [emoji23].....
Huyo Wenger mnayemsema hana CL hata Moja ,ila Bado mnamuweka kwenye anga Moja na pep [emoji23][emoji23][emoji23]wtf,,arsenal ya invisible imeshindwa kuchukua CL ,harafu mnasema ujinga gani ....
Huyo Alex farguson kapigwa final mbili za CL na pep [emoji23],mpaka mkono unatetemeka ,[emoji23][emoji23][emoji23]hivi nyie watu ni wajinga kiasi gan mpaka mnalinganisha farguson na pep [emoji23].....
Farguson anajua moto wa pep ,kamuuliza , na pep Bado anatembeza fimbo mpaka Sasa balani ulaya Hao kina farguson washastafu na kawagonga mpaka wananyoosha mikono juu ,kama ni boxing basi farguson alipigwa ko na pep mpaka kustafu ngumi na kulazwa hospital mazima [emoji23]....
Pep yupo dunia yake kwenye ulimwengu wa football....
Mnasema anatumia pesa ni kocha gani hahitaji pesa kupata mafanikio , Carlo alivokuwa Everton alifanya nin [emoji23],kaenda Madrid Tena yenye pesa na kila kitu umeona alichofanya [emoji23]....