Wivu na Unafiki Wa Wachambuzi wa Soka Tanzania

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Ni wivu tuu..

Kila hatua ni kujipongeza...nani amesema [emoji881] hawakushangilia kuzifunga Bullet na agosto?

Waache wenye furaha waendelee na furaha na hiyo ndio football...it is all about fun.

ukishinda ni furaha ukitoa sare na ukifungwa ni huzuni...

KMC anafurahi kutoa draw na Simba.. Simba anafurahi kutoa draw na Yanga...KMC anasikitika kufungwa na Yanga.

Africain board ya uongozi imejiuzuru kwa kufungwa na Yanga nyumbani na kutolewa kwenye mashindano.
.
Tujiulize Club kubwa kama ile kwa nini ihangaike na kuhuzunika na kutolewa na Yanga?..ndio mpira ulivyo....

Kujipanga na mechi zinazofuata sio swala la kuikumbusha Yanga ni mpango kazi uliopo ndani ya Yanga...

Media asilimia 90 ziliiponda sana Yanga kuwa Tunisia [emoji1249] haitatoboa..sasa wanajipendekeza na nini?

Undumilakuwili...Media zitumike kuhamasisha ili timu zetu zifanye vizuri katika mashindano ya Afrika...na sio kuzibeza...

Wachambuzi wa soka watumie weledi wao kuishauri na kuzipa hamasa kubwa Simba na Yanga kwa ajili ya mashindano hayo na sio kubeza.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nilijaliwa kutokuwa shabiki wa Yanga wala Simba.

Lakini naupenda na kushabikia mpira wa miguu Kwa utuo. Tanzania wachambuzi halisi wa soka Kwa Sasa labda amebaki mmoja wengine ni MASHABIKI tu hawana tofauti na kina Frank Yanga na Mood Mnyama. Sihangaiki kabisa na hao wachumia tumbo wasiojua soka ina maajabu na lolote linawezekana.

Wachambuzi wanaotumia historia kuchambua bila kujua kuna timu nyingi Sana duniani zimewahi kuvunja historia na kufanya yasiyotatajiwa? Hakuna aliyekumbuka maajabu ya Simba 0-4 Mfulila, kisha Mfulila 0-5 Simba. Hakuna aliyezingatia maajabu ya Porto ya Mourinho, wala Man Utd na ubingwa wa UEFA wa dk 3 za mwisho dhidi ya Bayern.

Huwezi kuniambia nikakuelewa kuhusu mashabiki wanaoitwa kwenye studio mbalimbali za vyombo vya habari na kubatizwa jina la Wachambuzi huku hawana wanachochambua.
 
Unafikiri uongozi wa africai ungefungwa na tumu kama pyramids, zamaleki, mamelod au simba ungejiuzuru? No way hizo ni club kubwa africa kuliko africain.

Ila sasa kama inafungwa na club ndogo kama yanga why uongozi ubaki? Africain sio club kuubwa kiviile na yenyewe imeanza kujitafuta lkn imegadhibika kwann ifungwe nyumban9 na club isiyo na jina lolote kimataifa kwasasa kama club ya yanga.
 
Ni wivu tuu..

Kila hatua ni kujipongeza...nani amesema [emoji881] hawakushangilia kuzifunga Bullet na agosto?

Waache wenye furaha waendelee na furaha na hiyo ndio football...it is all about fun.

ukishinda ni furaha ukitoa sare na ukifungwa ni huzuni...

KMC anafurahi kutoa draw na Simba.. Simba anafurahi kutoa draw na Yanga...KMC anasikitika kufungwa na Yanga.

Africain board ya uongozi imejiuzuru kwa kufungwa na Yanga nyumbani na kutolewa kwenye mashindano.
.
Tujiulize Club kubwa kama ile kwa nini ihangaike na kuhuzunika na kutolewa na Yanga?..ndio mpira ulivyo....

Kujipanga na mechi zinazofuata sio swala la kuikumbusha Yanga ni mpango kazi uliopo ndani ya Yanga...

Media asilimia 90 ziliiponda sana Yanga kuwa Tunisia [emoji1249] haitatoboa..sasa wanajipendekeza na nini?

Undumilakuwili...Media zitumike kuhamasisha ili timu zetu zifanye vizuri katika mashindano ya Afrika...na sio kuzibeza...

Wachambuzi wa soka watumie weledi wao kuishauri na kuzipa hamasa kubwa Simba na Yanga kwa ajili ya mashindano hayo na sio kubeza.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huwa nakueleewa San kweny haya maeneo ya soka

Mijitu kutwa zima kuinanga yanga sc leo yanga mungu amesimama upande wao nao wamerudi Tena

Kuna dogo Moja wa cloud mpuuzi mmoja anaitwa farhani Ni mji nga San Mara baada ya yanga kupata draw mjini DSM ,alikwenda kukamata mic za radio na Kisha kuanza kuararuarau yanga akaenda mbali Zaid akasema yanga hawko serious wamekurupuka ktk haya mashindano na pia akasema wakt Simba anakwenda kucheza mechi za kirafi yanga wananzurura tu mjini kkmmmk huyo dogo

Mara baada yanga kupata ushindi nilimfata na bonge la tusi na Kisha kunibloku naikamfta Tena Twitter nikampa za uso nikamumbia unawai hata kucheza wla kupiga danadan tano mpumbafu snaaa
 
Ni wivu tuu..

Kila hatua ni kujipongeza...nani amesema [emoji881] hawakushangilia kuzifunga Bullet na agosto?

Waache wenye furaha waendelee na furaha na hiyo ndio football...it is all about fun.

ukishinda ni furaha ukitoa sare na ukifungwa ni huzuni...

KMC anafurahi kutoa draw na Simba.. Simba anafurahi kutoa draw na Yanga...KMC anasikitika kufungwa na Yanga.

Africain board ya uongozi imejiuzuru kwa kufungwa na Yanga nyumbani na kutolewa kwenye mashindano.
.
Tujiulize Club kubwa kama ile kwa nini ihangaike na kuhuzunika na kutolewa na Yanga?..ndio mpira ulivyo....

Kujipanga na mechi zinazofuata sio swala la kuikumbusha Yanga ni mpango kazi uliopo ndani ya Yanga...

Media asilimia 90 ziliiponda sana Yanga kuwa Tunisia [emoji1249] haitatoboa..sasa wanajipendekeza na nini?

Undumilakuwili...Media zitumike kuhamasisha ili timu zetu zifanye vizuri katika mashindano ya Afrika...na sio kuzibeza...

Wachambuzi wa soka watumie weledi wao kuishauri na kuzipa hamasa kubwa Simba na Yanga kwa ajili ya mashindano hayo na sio kubeza.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sawa kabisa bila Shaka wachafu nawachafuzi wamekusikia🥱
 
Unafikiri uongozi wa africai ungefungwa na tumu kama pyramids, zamaleki, mamelod au simba ungejiuzuru? No way hizo ni club kubwa africa kuliko africain.

Ila sasa kama inafungwa na club ndogo kama yanga why uongozi ubaki? Africain sio club kuubwa kiviile na yenyewe imeanza kujitafuta lkn imegadhibika kwann ifungwe nyumban9 na club isiyo na jina lolote kimataifa kwasasa kama club ya yanga.
nakupa challenge ,ebu kasome vizuri nini kimefanya wamejiuzulu ,ukitoa kufungwa nayanga afu urudi tena
 
Wachambuzi wengi wanaendeshwa na mihemko zaidi, mihemko iki kutawala uwi tena mchambuzi unakuwa mtabiri/shabiki.

Katika mpira atakama una matumaini na timu Fulani hutakiwi kujimaliza kabisa inatakiwa uache akiba ya maneno kidogo.
Pia Kuna Mungu msimalize Kila kitu Kuna wanao omba Mungu na wakasikilizwa Dua zao.
 
Msiwachukulie serious waandishi/wachambuzi. Kuna yule wa Clouds anaitwa Lwambano yaani yeye ni kuzungumzia mabaya tu ya hizi Club. Wasafi wanajitahidi sana na hawako biased.
 
Wasafi ndo hamna kitu pale.
Kuanzia yusuph mkule, Ahmed abdalah, Paul mkai, wakianza isifia Yanga, kipindi kuzima Tena hawajifichi .
Uchambuzi mzuri ni pale azam kwenye radio Yao ya U-fm..jamaa wanajua sana kuchambua, hawana usimba Wala u Yanga, labda na Amri kiemba nae yupo vzur sana
 
Ni wivu tuu..

Kila hatua ni kujipongeza...nani amesema [emoji881] hawakushangilia kuzifunga Bullet na agosto?

Waache wenye furaha waendelee na furaha na hiyo ndio football...it is all about fun.

ukishinda ni furaha ukitoa sare na ukifungwa ni huzuni...

KMC anafurahi kutoa draw na Simba.. Simba anafurahi kutoa draw na Yanga...KMC anasikitika kufungwa na Yanga.

Africain board ya uongozi imejiuzuru kwa kufungwa na Yanga nyumbani na kutolewa kwenye mashindano.
.
Tujiulize Club kubwa kama ile kwa nini ihangaike na kuhuzunika na kutolewa na Yanga?..ndio mpira ulivyo....

Kujipanga na mechi zinazofuata sio swala la kuikumbusha Yanga ni mpango kazi uliopo ndani ya Yanga...

Media asilimia 90 ziliiponda sana Yanga kuwa Tunisia [emoji1249] haitatoboa..sasa wanajipendekeza na nini?

Undumilakuwili...Media zitumike kuhamasisha ili timu zetu zifanye vizuri katika mashindano ya Afrika...na sio kuzibeza...

Wachambuzi wa soka watumie weledi wao kuishauri na kuzipa hamasa kubwa Simba na Yanga kwa ajili ya mashindano hayo na sio kubeza.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ni aibu timu kutolewa na yanga,hiyo ni dalili kwamba waliwadharau sana.

Yaani unatolewa hadi na utopolo! Si bora kijiuzulu
 
Ni wivu tuu..

Kila hatua ni kujipongeza...nani amesema [emoji881] hawakushangilia kuzifunga Bullet na agosto?

Waache wenye furaha waendelee na furaha na hiyo ndio football...it is all about fun.

ukishinda ni furaha ukitoa sare na ukifungwa ni huzuni...

KMC anafurahi kutoa draw na Simba.. Simba anafurahi kutoa draw na Yanga...KMC anasikitika kufungwa na Yanga.

Africain board ya uongozi imejiuzuru kwa kufungwa na Yanga nyumbani na kutolewa kwenye mashindano.
.
Tujiulize Club kubwa kama ile kwa nini ihangaike na kuhuzunika na kutolewa na Yanga?..ndio mpira ulivyo....

Kujipanga na mechi zinazofuata sio swala la kuikumbusha Yanga ni mpango kazi uliopo ndani ya Yanga...

Media asilimia 90 ziliiponda sana Yanga kuwa Tunisia [emoji1249] haitatoboa..sasa wanajipendekeza na nini?

Undumilakuwili...Media zitumike kuhamasisha ili timu zetu zifanye vizuri katika mashindano ya Afrika...na sio kuzibeza...

Wachambuzi wa soka watumie weledi wao kuishauri na kuzipa hamasa kubwa Simba na Yanga kwa ajili ya mashindano hayo na sio kubeza.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
nilimsikia mchambaji/mchambuzi mmoja juzi kabla ya mechi ya yanga. mwenzake alimwambia kocha wa club african anaumwa pressure, yeye akawa anacheke kwa dharau akadai anaumwa mambo ya mungu na utu uzima tu siyo kwasababu ya yanga. yule bwana alikuwa ameitoa yanga tangu siku inapangiwa na ile club.
alikuwa anafanya kazi TFF lakini ni mtu mwenye upeo mdogo kwelikweli. siyo mchambuzi yule ni mchambaji
 
Wasafi ndo hamna kitu pale.
Kuanzia yusuph mkule, Ahmed abdalah, Paul mkai, wakianza isifia Yanga, kipindi kuzima Tena hawajifichi .
Uchambuzi mzuri ni pale azam kwenye radio Yao ya U-fm..jamaa wanajua sana kuchambua, hawana usimba Wala u Yanga, labda na Amri kiemba nae yupo vzur sana
nakubaliana na wewe azam wapo vizuri sana
 
Ni wivu tuu..

Kila hatua ni kujipongeza...nani amesema [emoji881] hawakushangilia kuzifunga Bullet na agosto?

Waache wenye furaha waendelee na furaha na hiyo ndio football...it is all about fun.

ukishinda ni furaha ukitoa sare na ukifungwa ni huzuni...

KMC anafurahi kutoa draw na Simba.. Simba anafurahi kutoa draw na Yanga...KMC anasikitika kufungwa na Yanga.

Africain board ya uongozi imejiuzuru kwa kufungwa na Yanga nyumbani na kutolewa kwenye mashindano.
.
Tujiulize Club kubwa kama ile kwa nini ihangaike na kuhuzunika na kutolewa na Yanga?..ndio mpira ulivyo....

Kujipanga na mechi zinazofuata sio swala la kuikumbusha Yanga ni mpango kazi uliopo ndani ya Yanga...

Media asilimia 90 ziliiponda sana Yanga kuwa Tunisia [emoji1249] haitatoboa..sasa wanajipendekeza na nini?

Undumilakuwili...Media zitumike kuhamasisha ili timu zetu zifanye vizuri katika mashindano ya Afrika...na sio kuzibeza...

Wachambuzi wa soka watumie weledi wao kuishauri na kuzipa hamasa kubwa Simba na Yanga kwa ajili ya mashindano hayo na sio kubeza.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Safi sana kwa maelezo haya. Acha tufurahi sie.
 
Unafikiri uongozi wa africai ungefungwa na tumu kama pyramids, zamaleki, mamelod au simba ungejiuzuru? No way hizo ni club kubwa africa kuliko africain.

Ila sasa kama inafungwa na club ndogo kama yanga why uongozi ubaki? Africain sio club kuubwa kiviile na yenyewe imeanza kujitafuta lkn imegadhibika kwann ifungwe nyumban9 na club isiyo na jina lolote kimataifa kwasasa kama club ya yanga.
Yaani Club African ni ndogo kwa Makolo FC, Jesus you are not serious...
 
nilimsikia mchambaji/mchambuzi mmoja juzi kabla ya mechi ya yanga. mwenzake alimwambia kocha wa club african anaumwa pressure, yeye akawa anacheke kwa dharau akadai anaumwa mambo ya mungu na utu uzima tu siyo kwasababu ya yanga. yule bwana alikuwa ameitoa yanga tangu siku inapangiwa na ile club.
alikuwa anafanya kazi TFF lakini ni mtu mwenye upeo mdogo kwelikweli. siyo mchambuzi yule ni mchambaji
Huyo si mwingine ila ni Jemedari Kazumari.
 
Back
Top Bottom