Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Ni wivu tuu..
Kila hatua ni kujipongeza...nani amesema [emoji881] hawakushangilia kuzifunga Bullet na agosto?
Waache wenye furaha waendelee na furaha na hiyo ndio football...it is all about fun.
ukishinda ni furaha ukitoa sare na ukifungwa ni huzuni...
KMC anafurahi kutoa draw na Simba.. Simba anafurahi kutoa draw na Yanga...KMC anasikitika kufungwa na Yanga.
Africain board ya uongozi imejiuzuru kwa kufungwa na Yanga nyumbani na kutolewa kwenye mashindano.
.
Tujiulize Club kubwa kama ile kwa nini ihangaike na kuhuzunika na kutolewa na Yanga?..ndio mpira ulivyo....
Kujipanga na mechi zinazofuata sio swala la kuikumbusha Yanga ni mpango kazi uliopo ndani ya Yanga...
Media asilimia 90 ziliiponda sana Yanga kuwa Tunisia [emoji1249] haitatoboa..sasa wanajipendekeza na nini?
Undumilakuwili...Media zitumike kuhamasisha ili timu zetu zifanye vizuri katika mashindano ya Afrika...na sio kuzibeza...
Wachambuzi wa soka watumie weledi wao kuishauri na kuzipa hamasa kubwa Simba na Yanga kwa ajili ya mashindano hayo na sio kubeza.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app