Wivu umesababisha media za Kenya kutoongelea SGR II launch

ukweli ndio huo...habari ya sgr haituhusu kamwe....wacha hata sgr tz...sgr ethiopia, morocco wote hamna aliyejishugulisha kuleta habari hizo...ndio ukweli mtupu...habari za tz nchini ni nadra kama nyoka anayepurukaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kama ni kweli basi mna kumbatia ujinga matokeo yake your gvnt is being fckd by chinies uku mki kenua minjino. Ila juzi mmekuja kujifunza kuhusu BRT nazani mmesha choka kuwa fckd all sides mmeshtuka na kuanza kuji funza kwa kaka yenu Tz
 
Balala ali ishi mkoa gani tz! mimi najua makapuku kama wewe ndiyo hamfuatilii kwa sababu kazi zako zinaishia dandora, mathare na kibera ukienda mbali kidogo unaishia Nyeri na machakos [emoji13]
 
Inferiority complex at its best. People with high self esteem don't do things and start worrying how others respond or don't respond to them.
 
Inferiority complex at its best. People with high self esteem don't do things and start worrying how others respond or don't respond to them.
Loser...Stieglers gorge plus Uganda pipeline come next.
 
Hata Bagamoyo tuliimbiwa hapa zaidi ya miaka 5 na hamna kitu hadi sasa baada ya ******** kuuzindua mradi wa ndovu mweupe.πŸ™‚πŸ™‚
 
unaposema hivyo je ni kweli miundo mbinu ya Tz haitainufaisha kenya kwa namna yoyote? hasa ushirikiano wa east Africa.ila vyombo vya Kenya kwa kuandika mambo mabaya ni namba moja
 

Nani kakupa mamlaka ya kusemea mioyo ya waKenya wengine!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…