Wivu umesababisha media za Kenya kutoongelea SGR II launch

Wivu umesababisha media za Kenya kutoongelea SGR II launch

ukweli ndio huo...habari ya sgr haituhusu kamwe....wacha hata sgr tz...sgr ethiopia, morocco wote hamna aliyejishugulisha kuleta habari hizo...ndio ukweli mtupu...habari za tz nchini ni nadra kama nyoka anayepuruka😀😀😀
Kama ni kweli basi mna kumbatia ujinga matokeo yake your gvnt is being fckd by chinies uku mki kenua minjino. Ila juzi mmekuja kujifunza kuhusu BRT nazani mmesha choka kuwa fckd all sides mmeshtuka na kuanza kuji funza kwa kaka yenu Tz
 
😀😀😀lakini nadhani nimeeleweka... hakuna mkenya anaye jishugulisha na mambo yenu..sababu kubwa ya hili ni kuwa mpo nyuma yetu hivyo hakuna la kujifunza..mambo yenu ni mambo yenu tu...ukipata mkenya kajishugulisha sana na ambo ya tz itakuwa maybe kashaishi huko
Balala ali ishi mkoa gani tz! mimi najua makapuku kama wewe ndiyo hamfuatilii kwa sababu kazi zako zinaishia dandora, mathare na kibera ukienda mbali kidogo unaishia Nyeri na machakos [emoji13]
 
Inferiority complex at its best. People with high self esteem don't do things and start worrying how others respond or don't respond to them.
 
Inferiority complex at its best. People with high self esteem don't do things and start worrying how others respond or don't respond to them.
Loser...Stieglers gorge plus Uganda pipeline come next.
 
Pictures please
Lavington
1521181419053.jpg
 
kuna kitu unafaa uelewe...Kenya is not obsessed with tz...tz is obsessed with Kenya...nowonder you cant go one minute without mentioning it...pili, media haiwezi ku discuss vitu vya ujinga...launch ya sgr tz haihusu Kenya au wakenya ndewe wala sikio kama vile tu ya Ethiopia ilipokuwa launched hamna aliyeshugulika...wanaolipia si taxpayers wa Kenya hivyo si habari inayotuhusu sie...
unaposema hivyo je ni kweli miundo mbinu ya Tz haitainufaisha kenya kwa namna yoyote? hasa ushirikiano wa east Africa.ila vyombo vya Kenya kwa kuandika mambo mabaya ni namba moja
 
😀😀😀lakini nadhani nimeeleweka... hakuna mkenya anaye jishugulisha na mambo yenu..sababu kubwa ya hili ni kuwa mpo nyuma yetu hivyo hakuna la kujifunza..mambo yenu ni mambo yenu tu...ukipata mkenya kajishugulisha sana na ambo ya tz itakuwa maybe kashaishi huko

Nani kakupa mamlaka ya kusemea mioyo ya waKenya wengine!!?
 
Back
Top Bottom