thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
Kama ni kweli basi mna kumbatia ujinga matokeo yake your gvnt is being fckd by chinies uku mki kenua minjino. Ila juzi mmekuja kujifunza kuhusu BRT nazani mmesha choka kuwa fckd all sides mmeshtuka na kuanza kuji funza kwa kaka yenu Tzukweli ndio huo...habari ya sgr haituhusu kamwe....wacha hata sgr tz...sgr ethiopia, morocco wote hamna aliyejishugulisha kuleta habari hizo...ndio ukweli mtupu...habari za tz nchini ni nadra kama nyoka anayepuruka😀😀😀