Wivu wa mapenzi ni janga kubwa mno, tuchague wa kumove nao sio hawa feminists! Au ma slay queen! Tiririka

Wivu wa mapenzi ni janga kubwa mno, tuchague wa kumove nao sio hawa feminists! Au ma slay queen! Tiririka

Wasio na mafanikio kichumi, wasio vizuri physically, wasiojiamini kimaumbile, wanaohisi kuwa na mwanamke fulani ni swala la huruma, wanaojitoa sana, wanaoishi kwa kumfurahisha mwanamke, wasio na option nyingine za wanawake.

Hao wote hakuna namna wataacha kuwa na insecurities mbele ya mwanamke, WIVU.
 
Its true ila [emoji383] na power vitakubeba kama dume mf. Hata domo unaona jinsi anavyowatafuna na kuwatupa kama big G [emoji2]
Muoga wa kuoa/mahusiano yule ndio maana hata kuacha kwake ni mpaka ndugu/marafiki waingilie kum'push au kumpiga presha ndio anachukua maamuzi ya kuvunja mahusiano au sometimes mpaka afukue machafu ya mwanamke yaliyopita ili yampe legality ya kuachana, angalia anavyovunja mahusiano yake mengi kwanza makelele mengi na drama na usaliti ili apate gea ya mahusiano kuvunjika [emoji23][emoji23][emoji23]
,unajua mahusiano sio kwamba pesa ndio itasimama kila mahali, wanawake hata ukiwa na pesa ukiwa huna maamuzi au misimamo ya kiume wanapoteza amani ya mahusiano husika.

Wanawake always wako smart sana kichwani kucheza na akili zetu wanaume kwenye mahusiano kwasababu ya uzoefu wanaoupata mapema kwenye mapenzi, tena ukimkuta mwanamke mahiri anacheza #rhythm uitakayo mwanzoni huku akikusoma ili ajue huyu mwamba ni imara kiasi gani mbali na pesa zake je kimaamuzi, kihisia, unavijosimamia, kimfumo wa maisha yako na mienendo kiujumla ili apate tafsiri ya kwamba mwanaume ni kiongozi familia/mahusiano!
Hivi unajua kama mwanamke ukimuonyesha unampenda na kumjali huku akiwa haoni chembechembe za wivu juu yake anapata shida na wasiwasi wa hayo mahusiano/ndoa?!
Tukirejea kwa M'botswana huyu dkt hakuwa na kifua cha kiume chenye kutunza magumu na kukaza, possibly alianza vurugu za mapenzi baada ya kupata vipesa sana na kuona mkewe kama kapoteza mvuto hivyo hawezi msaliti au muacha vilivyompa jeuri, ndio maana alipelekeshwa mno kihisia baada ya kubambwa na mkewe kufanya comeback [emoji23], hakuwa na "sense of command & control" kama baba wa familia,mume na muongozaji wa familia yake, kuna wakati katika familia onyesha kwamba wewe ndio mtemi tena mtemi haswa na wote wanaoishi chini yako waishi kwa nidhamu, atayeenda against utamlambisha [emoji91]
dokta alilegea sana,uenda alitoka familia ya kilelemaa sasa kakutana na moto ukubwani anayumba, katika maisha ya kimahusiano mwanamke lazima akutingishe ukatae ukubali ukikubali kutikisika umeenda na maji kwasababu atakuwa keshajua udhaifu wako.
Nb: Dokta alisaliti huku akijua amekufa ameoza kwa mkewe,mke kamtingisha nae akatikisika kweli na kwenye mstari akatoka kutwa kulia lia.
 
Back
Top Bottom