Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lady JD aliimba 'wanaume kama mabinti'Miaka mitatu nyuma nilipata semina ya kikazi Morogoro nikakutana na Mama mmoja mjane ambae ki ranki kazini ni senior kwangu yupo vizuri kiuchumi ana nyumba zake mbili na usafiri na ana mtoto mmoja wa kike ambae nae kaolewa.
Nikajikuta tumeingia kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa vile huku nyumbani wife alikua amejifungua nilikua napata muda mwingi wa kuruka moro faster kupiga gemu kila weekend nakurud mjini chap bila mtu yeyote kujua kua nimeenda moro.
Tatizo linakuja wife karecova na maisha yamerudi kawaida ule muda wa kuruka moro faster kupiga gemu nakurud mjini haupo tena kutokana na majukumu ya kazi na familiar, nikilala nyumbani asubuhi nikimcheki mchepuko kwa salama unanuna eti umelala nyumbani kwako ukiwa unanyanduana saivi unanisalimia yaan tafrani.
Kuhusu garama za hotel mama anagaramia akanambia mshahara wangu kwa Sasa haufai kuspend hivo niutumie kujijenga na familiar yangu na kuhusu afya tulipima tupo saafi na kinachoniuma mchepuko ulikua na jamaa yake kabla hatujaanza mahusiano kwa utamu wa penzi lilivonoga akampiga chini jamaa yake.
Shida inakuja najiona kama mtumwa kwenye hili penzi nataka kutoka lakini nikiwaza fadhila zake na kila mwezi akipata mshahara alikua ananitumia nauli ya kwendea kazini kwangu na mengi mengi alonisaidia moyo unasita najikuta nipo dilemma cjui nishike ipi.
Pole sana mkuuMiaka mitatu nyuma nilipata semina ya kikazi Morogoro nikakutana na Mama mmoja mjane ambae ki ranki kazini ni senior kwangu yupo vizuri kiuchumi ana nyumba zake mbili na usafiri na ana mtoto mmoja wa kike ambae nae kaolewa.