Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Mzee Wasira ana Chuki Binafsi mbona kuna Mapendekezo ya Nyalali mbona kuna Tume ya Jaji Kisanga?WanaCCM wana matatizo sana, Mzee Wasira akihojiwa TBC amesema haya...
''Wapinzani wanasema wanataka katiba ya Warioba, Warioba hana katiba, kazi yake ilikuwa ni kukusanya maoni na sheria ya mabadiliko ya katiba ya wakati ule inasema baada ya maoni kukusanywa yanafikishwa katika Bunge maalum na ndio litakaloandika katiba pendekezwa''
Kwa kuwa siyo mtihani wa lugha yuko sahihi. Ni lugha za mitaani!Nashukuru...lakini hao wapinzani huwa hawasemi 'katiba ya Warioba' husema 'katiba iliyopendekezwa na tume ya Warioba', sasa ndugu Muuza Kangala...amemnukuu Mzee Wassira akisema 'hakuna katiba ya Warioba' ni mzee yuko sahihi kama kuna mtu anasema kuna katiba ya Warioba
Wasira anataka waite Katiba ya WasiraWanaCCM wana matatizo sana, Mzee Wasira akihojiwa TBC amesema haya...
''Wapinzani wanasema wanataka katiba ya Warioba, Warioba hana katiba, kazi yake ilikuwa ni kukusanya maoni na sheria ya mabadiliko ya katiba ya wakati ule inasema baada ya maoni kukusanywa yanafikishwa katika Bunge maalum na ndio litakaloandika katiba pendekezwa''
SanaaaMzee wasira ni moja ya wazee wajinga
π π π πSema ni jina tu unaweza kuita hata Katiba ya Polepole.
WASSIRA anatamani SANA tena SANA VYEO hiviWanaCCM wana matatizo sana, Mzee Wasira akihojiwa TBC amesema haya...
''Wapinzani wanasema wanataka katiba ya Warioba, Warioba hana katiba, kazi yake ilikuwa ni kukusanya maoni na sheria ya mabadiliko ya katiba ya wakati ule inasema baada ya maoni kukusanywa yanafikishwa katika Bunge maalum na ndio litakaloandika katiba pendekezwa''
Mzee wasira ni moja ya wazee wajinga
Pwaaa Pwaaa Pwaaaa Gesiiii ,dawa hii hapa!!!