Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Mzee Wasira ana Chuki Binafsi mbona kuna Mapendekezo ya Nyalali mbona kuna Tume ya Jaji Kisanga?WanaCCM wana matatizo sana, Mzee Wasira akihojiwa TBC amesema haya...
''Wapinzani wanasema wanataka katiba ya Warioba, Warioba hana katiba, kazi yake ilikuwa ni kukusanya maoni na sheria ya mabadiliko ya katiba ya wakati ule inasema baada ya maoni kukusanywa yanafikishwa katika Bunge maalum na ndio litakaloandika katiba pendekezwa''
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app