Wizara: Serikali haina uwezo kuwakopesha wanafunzi wote

Wizara: Serikali haina uwezo kuwakopesha wanafunzi wote

Ccm ------ sana mda wenu wa ufala unaisha k nyie


Kaka chunga kinywa chako ndugu, jazba na hasira hazita badili matokeo kama imetokea kwako na hakuna njia mbadala basi kua mpole tu rafiki labda next time utakua mmoja wao.
Samahan lakn
 
Tanzania kweli bado. Yaani mambo ya muhimu kama haya ya kupata mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya Juu wenye vigezo badala kupewa kipaumbele kwa kutenga fungu kubwa zaidi, ikiwa ni hata kwa kuomba msaada wafadhili kutoka nje wawasaidie, serikali wao wanaelekeza nguvu yao katika mambo mengine yasiyo hata na tija kubwa kwa taifa., mfano.safari za mheshimiwa nje ya nchi akisindikizwa na timu yake ya watu wapatao 60 hivi.

Sina hakika mpaka sasa safari zake za nje zimefikia ngapi na zimegharimu kiasi gani cha mapesa ya walipakodi. Kama mtakumbuka vizuri gazeti la M.wa.na.ha.li.si miaka minne iliyopita lilishawahi kuanika uozo huu.
Kwa kukumbushia kidogo,Kwa viwango vya serikali, watu wanaosafiri kwenye msafara wa rais hulipwa kiasi cha kati ya dola 350 na 500 (Sh. 600,000 kwa siku). Sasa zidisha mara jumla ya idadi yao: halafu zidisha na siku wanazokaa huko nje: gharama za hoteli na usafiri:na jumla ya safari zote: HAKIKA UTACHOKA.
usirudie tena kutoa ushauri huu . hao ndio wanaosababisha matatizo yote. tutumie akili zetu tulete maendeleo yetu. hao watu wa nje ni wabaya kuliko hata maccm
 
Endeleeni kuipigia CCM kula, mi sioni tatizo!
 
hili ni tatizo le2 ss wasomi wa nchi hii..kila siku tunawapigia kura viongoz walioishia shule za msingi wasiovijua vipaumbele vya taifa hili...wapo wanaovijua lakin si watendaji..jukumu le2 kama wananchi ni kuwa makin na viongoz tunaowachagua..ukiangalia matumiz ya serikali unaweza kuangua kilio kikubwa sana...serikali yetu inaendelea kufeli kila siku katka masuala nyeti ya kitaifa hususan taaluma...TUMEWACHOKA NYANI mnaoharbu shamba la MWL.NYERERE...inaa sana wenye macho wakiwa na viongoz vipofu MNAKERAAAA...
 
usirudie tena kutoa ushauri huu . hao ndio wanaosababisha matatizo yote. tutumie akili zetu tulete maendeleo yetu. hao watu wa nje ni wabaya kuliko hata maccm
Mshinga kubali kataa bado tz ni maskini sana. Jumlisha na viongozi wabovu serikalini kwanzia chini mpaka ngazi za juu, Na hayo ndio yanayosababisha tuwe tegemezi, ingawa tu matajiri sana wa rasirimali.
 
Last edited by a moderator:
hahaha kwan hao ccm anawachagua nan muje mulalamike humu? ulichokipanda ndo utakachovuna waelimishen wazaz kijijin then mje kwa heslb
 
2015 kesho kutwa mtasahau haswa km mlikosa mkopo km kawa mtapigia chama cha kijani hahaha tanzania yang naipenda sana
 
Mshinga kubali kataa bado tz ni maskini sana. Jumlisha na viongozi wabovu serikalini kwanzia chini mpaka ngazi za juu, Na hayo ndio yanayosababisha tuwe tegemezi, ingawa tu matajiri sana wa rasirimali.
nikubali nini? nikatae nini? kama na wewe unaona suluhisho la matatizo ya tanzania ni misaada hauna kabisa tofauti na viongozi unaowaita wabovu , sasa wewe na kikwete mtakuwa na tofauti ipi maana wote mnaamini kupata misaada na baba rizi ashatembeza sana bakuli karibu nchi zote amezifikia kuomba asaidiwe.
 
Kinachokera zaidi ni hiyo pesa ya kuombea mkopo,swali jingine hawa waliokopeshwa miaka ya nyuma hawarejeshi mikopo iingie kwenye mzunguko?
Anyway vijana jijengeeni mawazo ya kujiajiri ambayo yanaweza kusuport elimu yenu kwa namna moja ama nyingine.
 
Back
Top Bottom