Wizara ya Afya angalieni namna ya kuboresha kondomu zenye nembo ya (ZANA)

kangesa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2023
Posts
551
Reaction score
1,063
Nisiwe muongeaji sana. Wizara ya afya angalieni namna ya kuboresha kondomu mlizoingia nazo ubia na makampuni ya uzalishaji wa kifaa tiba hiki muhimu hasa kwa sisi vijana.

Kuna kondomu aina ya ZANA zinazosambazwa na serikali kupitia wizara ya afya kiukweli zile ndomu hazina ubora wowote kiufupi ni nyepesi sana kitendo kinachafanya watu wanakosa kuziamini na pindi wakikosa aina nyingine basi hufanya tendo la ndoa kwa wasiwasi sana wakihofia zitapasuka.

Yangu ni hayo tu.
 
Duh! Kuna kondomu zingine za ajabu sana! Zinabaki ndani wakati wa shoo, ile tu unanyofoa yenyewe unaicha ndani. Ila kuna zingine zinashikilia mpini hasa, hata ukikutana na kitu kinabana hainyofoki hata kidogo.
 
Nisiwe muongeaji sana. Wizara ya afya angalieni namna ya kuboresha kondomu mlizoingia nazo ubia na makampuni ya uzalishaji wa kifaa tiba hiki muhimu hasa kwa sisi vijana.

Kuna kondomu aina ya ZANA zinazosambazwa na serikali kupitia wizara ya afya kiukweli zile ndomu hazina ubora wowote kiufupi ni nyepesi sana kitendo kinachafanya watu wanakosa kuziamini na pindi wakikosa aina nyingine basi hufanya tendo la ndoa kwa wasiwasi sana wakihofia zitapasuka.

Yangu ni hayo tu.
Wanafanya ngono

Tendo la ndoa ni kwa wana ndoa
 
Achana na hayo makondomu ya bure.. utapata maradhi buree!
 
Back
Top Bottom