Hii ndyo yenyewerough rider
Mkalitizame vizuri hili mkuuAhsante kwa taarifa...
Wanafanya ngonoNisiwe muongeaji sana. Wizara ya afya angalieni namna ya kuboresha kondomu mlizoingia nazo ubia na makampuni ya uzalishaji wa kifaa tiba hiki muhimu hasa kwa sisi vijana.
Kuna kondomu aina ya ZANA zinazosambazwa na serikali kupitia wizara ya afya kiukweli zile ndomu hazina ubora wowote kiufupi ni nyepesi sana kitendo kinachafanya watu wanakosa kuziamini na pindi wakikosa aina nyingine basi hufanya tendo la ndoa kwa wasiwasi sana wakihofia zitapasuka.
Yangu ni hayo tu.
kumbe wanandoa hawaruhusiw kutumia kinga?Wanafanya ngono
Tendo la ndoa ni kwa wana ndoa
KhaaahKondom ilinishinda.
Kama kuupata acha tu niupate.