Wizara ya Afya fanyeni ku-update mfumo wa ufadhili E-Sponsorship

Wizara ya Afya fanyeni ku-update mfumo wa ufadhili E-Sponsorship

Ntemii

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2022
Posts
295
Reaction score
553
Habari ya J3 wadau wa JF.

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, mfumo w E-sponsorship wa Wizara ya Afya ambao hutumika kujisaijri na kutuma mombi ya ufadhili, upo chini haufanyi kazi na unasumbua katika process za kujisajiri, hivyo kuwia ugumu kufanya usajiri katika mfumo huo.

Ombi maIT wa wizara wanaoshughulika na mfumo fanyeni ku-update mfumo ili kuwezesha wadau kujisajiri na kutuma maombi yao pindi muda utakapo fika.

Ora et Labora
 
Back
Top Bottom