Wizara ya Afya: Hali iliyopo ni mafua ya kawaida

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Wizara ya Afya imesema watu wengi wamekuwa wakiripoti kuwa na dalili za mafua na homa kwa siku za karibuni

Wizara imesema uchunguzi umebaini hayo ni mafua ya kawaida ya kila mwaka yanayosababisha na vipindi vya hali ya hewa

Wananchi wameshauriwa kufika vituo vya afya kwa matibabu sahihi, ikiwa wana dalili za homa, kuchoka, kikohozi na Mafua
 
Attachments

Foolish indeed
 
Yale ya mheshimiwa Zitto ni haya haya au yake ni ya huyu mheshimiwa?

IMG_20211211_161824_341.jpg
 
Nchi hii hatujifunzi tu watu wa ajabu sana, hakuna aibu yoyote kuwa na corona ni dunia nzima na huko tumeshawekwa level 4 barua inajipinga yenyewe. Ni mafua ya kawaida tu mbona huko nyuma hatujawahi kuona toka lini nchi hii tulisikia watu wanalalamika mafua ya kawaida? hapo hapo mchukue tahadhari corona ipo serikali inashindwa kutoa kauli ya kuwajibika mnafanya watu wajinga hawaelewi kinachoendelea? mko kwa ajili ya kupata misaada tu ila kuongea ukweli hamtaki cha ajabu nini kuwa na corona.
 
Za kuambiwa nachanganya na zako

Au siyo

Ova
 
Jamani jamani hayo sio mafua ya kawaida we tangu nizaliwe nimeumwa mafua mara ngapi? Ila mafua haya balaa balaa homa lake sio la mchezo mwili unaumwa kama umebebeshwa misumari mgongo balaa ,visigino kiuno mama yanguu mtakuja kusema hapa khah
 
Huyu bado yupo kwenye vita ya kiuchumi ya mwendazake [emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums-1218739146.jpg
 
Wizara ya Afya imesema watu wengi wamekuwa wakiripoti kuwa na dalili za mafua na homa kwa siku za karibuni

Wizara imesema uchunguzi umebaini hayo ni mafua ya kawaida ya kila mwaka yanayosababisha na vipindi vya hali ya hewa

Wananchi wameshauriwa kufika vituo vya afya kwa matibabu sahihi, ikiwa wana dalili za homa, kuchoka, kikohozi na Mafua
Itajulikana tu Kama NI INFLUENZA AU COVID 19 AKA OMICRON
 
Yale ya mheshimiwa Zitto ni haya haya au yake ni ya huyu mheshimiwa?

View attachment 2048743
 
Basi kuna watu humu kusikia hivi wanafurahi kabisa kuona wenzao wanaumwa.
 
Back
Top Bottom