Wizara ya Afya: Hali iliyopo ni mafua ya kawaida

Huyu alisema JPM yuko ofisini anapiga kazi, na anatusalimia, tena aliongea mbele ya madhabahu ya Mungu...
Usimuamini mpumbavu km huyu

Huyu angepumzika tu au kama vipi angepumzishwa kama anakomaa.

Kabakiza uhalali upi babu kijana huyu aliyekomaa na kiwi kichwani?
 
Jamani jamani hayo sio mafua ya kawaida we tangu nizaliwe nimeumwa mafua mara ngapi? Ila mafua haya balaa balaa homa lake sio la mchezo mwili unaumwa kama umebebeshwa misumari mgongo balaa ,visigino kiuno mama yanguu mtakuja kusema hapa khah
Utotoni usiku mmoja nilishawahi kupita makaburini ugenini bila kujua kama ni makabulini ila nilipoambiwa kuwa pale nimakaburini nilikuwa napita huku naona kama watu wananifuata huku wamevaa sanda. Hebu jiulize tatizo lilikuwa ni mimi kujua ama tatizo lilikuwa yale makaburi. Mafua kidogo + propaganda za media + hofu= corona
 
Hujawahi kurogwa wewe..?
Hebu usitupigie kelele huumwi koona tulia.
 
Za kuambiwa nachanganya na zako

Au siyo

Ova
sio wote wanaoweza kuchanganya serikali ni wajibu wake kutoa taarifa sahihi kwa uma na kama hawawezi basi wasiadhibu na kukemea wale wenye kupinga maana usipotoa taarifa sahihi utakaribisha taarifa zisizo sahihi. Mimi najuwa hii ni corona lakini muhimu wizara yanye wajibu kuwa wa kweli hii ni afya za watu na corona sio hatari sana kama ilivyoanza na ni ugonjwa dunia nzima sio kwamba ni sisi tu.
 
Hofu

Ova
 
Utotoni usiku mmoja nilishawahi kupita makaburini ugenini bila kujua kama ni makabulini ila nilipoambiwa kuwa pale nimakaburini nilikuwa napita huku naona kama watu wananifuata huku wamevaa sanda. Hebu jiulize tatizo lilikuwa ni mimi kujua ama tatizo lilikuwa yale makaburi. Mafua kidogo + propaganda za media + hofu= corona
Braza mvuvi sijasema ni corona au bwana ommy ila nilichoandika hapo juu mafua haya balaa homa lake
 
Kama mlipuko huu wa mafua ni wa kawaida mbona TFF imewaruhusi simba kuarisha mechi yao na kagera sugar??
 
Nchi hii hatujifunzi tu watu wa ajabu sana, hakuna aibu yoyote kuwa na corona ni dunia nzima na huko tumeshawekwa level 4 barua inajipinga yenyewe. Ni mafua ya kawaida tu mbona huko nyuma hatujawahi kuona toka lini nchi hii tulisikia watu wanalalamika mafua ya kawaida? hapo hapo mchukue tahadhari corona ipo serikali inashindwa kutoa kauli ya kuwajibika mnafanya watu wajinga hawaelewi kinachoendelea? mko kwa ajili ya kupata misaada tu ila kuongea ukweli hamtaki cha ajabu nini kuwa na corona.
Kifupi wao ndio wajinga sisi the commonmwananchi ni welevu sana kuliko wanavyofikiria na kujielewa

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom