Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Foolish indeedWizara ya Afya imesema watu wengi wamekuwa wakiripoti kuwa na dalili za mafua na homa kwa siku za karibuni
Wizara imesema uchunguzi umebaini hayo ni mafua ya kawaida ya kila mwaka yanayosababisha na vipindi vya hali ya hewa
Wananchi wameshauriwa kufika vituo vya afya kwa matibabu sahihi, ikiwa wana dalili za homa, kuchoka, kikohozi na Mafua
Foolish indeed
Wizara ya Afya imesema watu wengi wamekuwa wakiripoti kuwa na dalili za mafua na homa kwa siku za karibuni
Wizara imesema uchunguzi umebaini hayo ni mafua ya kawaida ya kila mwaka yanayosababisha na vipindi vya hali ya hewa
Wananchi wameshauriwa kufika vituo vya afya kwa matibabu sahihi, ikiwa wana dalili za homa, kuchoka, kikohozi na Mafua
Za kuambiwa nachanganya na zakoNchi hii hatujifunzi tu watu wa ajabu sana, hakuna aibu yoyote kuwa na corona ni dunia nzima na huko tumeshawekwa level 4 barua inajipinga yenyewe. Ni mafua ya kawaida tu mbona huko nyuma hatujawahi kuona toka lini nchi hii tulisikia watu wanalalamika mafua ya kawaida? hapo hapo mchukue tahadhari corona ipo serikali inashindwa kutoa kauli ya kuwajibika mnafanya watu wajinga hawaelewi kinachoendelea? mko kwa ajili ya kupata misaada tu ila kuongea ukweli hamtaki cha ajabu nini kuwa na corona.
Huyu bado yupo kwenye vita ya kiuchumi ya mwendazake [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2048770
Itajulikana tu Kama NI INFLUENZA AU COVID 19 AKA OMICRONWizara ya Afya imesema watu wengi wamekuwa wakiripoti kuwa na dalili za mafua na homa kwa siku za karibuni
Wizara imesema uchunguzi umebaini hayo ni mafua ya kawaida ya kila mwaka yanayosababisha na vipindi vya hali ya hewa
Wananchi wameshauriwa kufika vituo vya afya kwa matibabu sahihi, ikiwa wana dalili za homa, kuchoka, kikohozi na Mafua
Very veryVery
🤣🤣🤣Huyu bado yupo kwenye vita ya kiuchumi ya mwendazake [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2048770
Huyu alisema JPM yuko ofisini anapiga kazi, na anatusalimia, tena aliongea mbele ya madhabahu ya Mungu...