Huyu mama namhurumia maana anachosimamia hata hajui! Report magumashi tu!
Sijahahi kuwa mwana CCM kiongozi!Zimeexpire, kama una kadi ya CCM nenda kaongeze idadi ya waliochanjwa (ghost vaccinated) ili serekali ipewe zingine na hela juu.
Sasa kama walisema wamechanja laki tatu lakini bado wamejikita mijini tu! Kijijini wanaenda lini ili watumie hiyo furs!Unauliza maswali magumu sana kwa wizara yetu...
Hizo chanjo Gwajima kasema tutageuka kuwa mbuziTunaomba wizara ifanye yafatayo
1.Itoe ratiba nzuri na itoe orodha ya vituo vya kutolea huduma maeneo ya vijijini!
2.Wizara ituambie J&J iliyoingia nchini inamaliza lini mda wake wa matumizi maana sasa ni mda ila taarifa za kuwa lini chanjo hiyo itamaliza mda wa matumizi haijatolewa.
3.Taarifa ya chanjo zilizobaki itolewe na waziri!
4. Itoe taarifa ya mwenendo wa corona.
5. Mkopo wa serkali wa kusaidia athari za corona utolewe maelezo kwa wananchi.
Ok! Vip kuhusu ule mkopo na chanjo zilizo baki hali yake?Waliochanja ni 340,000 kati ya 60,000,000. Yaani 0.57%. Una swali lingine? Au hujaelewa nini mpaka kapo?
Zina-expire lini? Mbona hili swali mnalikwepa sanaWaliochanja ni 340,000 kati ya 60,000,000. Yaani 0.57%. Una swali lingine? Au hujaelewa nini mpaka kapo?
DRC waliharibu juzi astrazenica chanjo laki tatu kwa mjibu wa BBC jana ila kwetu bado kimya!Imefanyuka midahalo na makongamano ya kila namna kuhusu chanjo, lakini Hadi leo serikali na wataalamu wake hawajasema zina-expire lini
Wanajua kabisa hakuna mtu stachamja huko kijijiniSasa kama walisema wamechanja laki tatu lakini bado wamejikita mijini tu! Kijijini wanaenda lini ili watumie hiyo furs!
Sasa chanjo ni za watu wamijini tu? Wakati corona haichaui mkuu!1.Itoe ratiba nzuri na itoe orodha ya vituo vya kutolea huduma maeneo ya vijijini!
Huko kijijini ni shida Umeme unazimika mara kwa mara unakaa muda mrefu,uwezo wa kutunza ni mdogo kwa kiwango kinachotakiwa .
Naamini mpaka kufika muda huu J&J kuna watu watakuwa wanachoma hizi Chanjo ufanisi wa Chanjo ukiwa umepungua.
Unachosema karibia kina ukweli. Iko hivi nilifanya booking online ya kuchanja 26/08/2021 ktk kituo kimoja hapa Dar. Bahati Mbaya nilisafiri ghafla sikuweza kuhudhuria mpaka hivi Leo. Kilichonishangaza tarehe 11/09/2021 nimetumia ujumbe kuwa nimechanja tarehe hiyo na nimetumiwa cheti changu cha uthibitisho wa kuchanja. Nimeshangaa sana kumbe ni ongeza idadi.Zimeexpire, kama una kadi ya CCM nenda kaongeze idadi ya waliochanjwa (ghost vaccinated) ili serekali ipewe zingine na hela juu.
Mmmmmm hili nalo neno...... cheti bila kuchanja! Serkali ishafeli kwenye hili! Tena great failure!Unachosema karibia kina ukweli. Iko hivi nilifanya booking online ya kuchanja 26/08/2021 ktk kituo kimoja hapa Dar. Bahati Mbaya nilisafiri ghafla sikuweza kuhudhuria mpaka hivi Leo. Kilichonishangaza tarehe 11/09/2021 nimetumia ujumbe kuwa nimechanja tarehe hiyo na nimetumiwa cheti changu cha uthibitisho wa kuchanja. Nimeshangaa sana kumbe ni ongeza idadi.
Ndio hivyo wanafukia magap maana kule wanataka database ya waliochanjwa ili muendelee kupata pesa ya corona.Unachosema karibia kina ukweli. Iko hivi nilifanya booking online ya kuchanja 26/08/2021 ktk kituo kimoja hapa Dar. Bahati Mbaya nilisafiri ghafla sikuweza kuhudhuria mpaka hivi Leo. Kilichonishangaza tarehe 11/09/2021 nimetumia ujumbe kuwa nimechanja tarehe hiyo na nimetumiwa cheti changu cha uthibitisho wa kuchanja. Nimeshangaa sana kumbe ni ongeza idadi.