the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
Kwenye hyo pcb ya a level tatizo ni hyo phy kibaya zaidi pia hapo hapo ulipoomba ww kulikuwa na a level wenzako waliofanya vyema kukuzidi.
Umeogopa mwaka huu kugusa hata certificate afya kabisa?
ndg certificate chin sana ndg!acha niend dip ya mifugo ndg
Kuna jamaa yangu ameenda leo kuuliza lini watatoa majina alichoambiwa mwezi wa 9 siku yoyote.shida ni competion ilikuwa kubwa wazee
but inategemea na pas mak zako..kama una bioz-C,na masomo mengne ya sayans D,na uliomba cheti clinical medcn unaweza pata ila kama uliomba co na una D ya bioz czan kama utachaguliwa..na koz ya lab somo lamcng wanaloangalia uwe na C ya chem kwa diploma..au D ya chem cheti...ila kama uliomba asstant ya co una d ya bioz possibity ya kuwa selected ni ndogo....kama mimi na div 4 ya 30 then chem-c,phy-f,bios-d,Bmath-d,but f ya phy ndo inaninyima raha kabisa
kesho madogo
Hasa sijui kweli au ndo mnatutia jambajamba Kwa result hizo ukose kweli kama wewe umekosa Kwa result hizo je mimi mwenye bio c chemia c physisc d math f english d si ndo basiMim nlikuwa na pysi-B,bios-c chem- c, marth-c ,english-c mwaka jana nlipigwa chini
Hasa sijui kweli au ndo mnatutia jambajamba Kwa result hizo ukose kweli kama wewe umekosa Kwa result hizo je mimi mwenye bio c chemia c physisc d math f english d si ndo basi
hawadanganyi mdogo wangu alkuwa na C masomo yote ya sayansi B ya Math akakosa mwaka jana,kutokana na ushindan+kujuana+uchache wa vyuo kwa results hizo ungeomba certificate ungekuwa na asilimia flani kubwa ya kupata..
Certfcate huwa kuna uwezekano mkubwa wa kupata kuliko diproma?
Poa wakuu nami mwenye physics c chem b na bios d math b na eng d inakuaje?
Hebu nitupie contact zako mkuu ili tuwasiliane vizuri mkuuTumesikia huko kulikuwa na ushindani kweli hatujui ila matokeo yako safi sana nadhani kama ni Certificate njia nyeupe na hata dip pia tuombe mungu.
Hebu nitupie contact zako mkuu ili tuwasiliane vizuri mkuu