Wizara ya afya itatoa lini post za wanafunzi?

Wizara ya afya itatoa lini post za wanafunzi?

Kwenye hyo pcb ya a level tatizo ni hyo phy kibaya zaidi pia hapo hapo ulipoomba ww kulikuwa na a level wenzako waliofanya vyema kukuzidi.

dah ndio maana mwaka huu majesh nilipeleka mifugo na kilimo,mifugo nimepata kilimo bado majibu,nawaombei her ndg zangun,hata mimi ndoto yangu ilikuwa co watakaokosa sio mwisho wa maisha mnajipanga ndg zangun ndio maisha ye2 bongo
 
Kuna jamaa yangu ameenda leo kuuliza lini watatoa majina alichoambiwa mwezi wa 9 siku yoyote.shida ni competion ilikuwa kubwa wazee
 
Kuna jamaa yangu ameenda leo kuuliza lini watatoa majina alichoambiwa mwezi wa 9 siku yoyote.shida ni competion ilikuwa kubwa wazee

Hiyo ya mwezi wa 9 siku yoyote nayo! Maana yake hata mwishoni mwa huo mwezi but kikubwa hyo competition ndo cha kufikilia hapo.
 
but inategemea na pas mak zako..kama una bioz-C,na masomo mengne ya sayans D,na uliomba cheti clinical medcn unaweza pata ila kama uliomba co na una D ya bioz czan kama utachaguliwa..na koz ya lab somo lamcng wanaloangalia uwe na C ya chem kwa diploma..au D ya chem cheti...ila kama uliomba asstant ya co una d ya bioz possibity ya kuwa selected ni ndogo....kama mimi na div 4 ya 30 then chem-c,phy-f,bios-d,Bmath-d,but f ya phy ndo inaninyima raha kabisa

Mkuu competition ni kubwa sana, Tanzania nzima vyuo vya diploma ya clinical medicine vya serikali havizidi vitano na kila chuo kinachukua wanafunzi 50 tu
 
Duu hapo kweli mtiti vyuo vya clinical medicine tanzania havizidi vi5 na pia uchukuaji wake ni wanafunzi hamsini tu fikilia wanaomba ni maelfu naweza sema.
 
Mim nlikuwa na pysi-B,bios-c chem- c, marth-c ,english-c mwaka jana nlipigwa chini
Hasa sijui kweli au ndo mnatutia jambajamba Kwa result hizo ukose kweli kama wewe umekosa Kwa result hizo je mimi mwenye bio c chemia c physisc d math f english d si ndo basi
 
Hasa sijui kweli au ndo mnatutia jambajamba Kwa result hizo ukose kweli kama wewe umekosa Kwa result hizo je mimi mwenye bio c chemia c physisc d math f english d si ndo basi

hawadanganyi mdogo wangu alkuwa na C masomo yote ya sayansi B ya Math akakosa mwaka jana,kutokana na ushindan+kujuana+uchache wa vyuo kwa results hizo ungeomba certificate ungekuwa na asilimia flani kubwa ya kupata..
 
Kweli jishushe upandishwe jipandishe ushushwe.
 
Certfcate huwa kuna uwezekano mkubwa wa kupata kuliko diproma?
 
Certfcate huwa kuna uwezekano mkubwa wa kupata kuliko diproma?

Ujue certificate hata kama wanaomba form six wapo lakini siyo kihivyo certificate wengi form four ambao matokeo yao ndo hivyo labda we form 4 hata kama una ufaulu mzuri ukiomba dip ucshangae ukikosa coz hao A-level unawapimiaje?
 
Poa wakuu nami mwenye physics c chem b na bios d math b na eng d inakuaje?

Tumesikia huko kulikuwa na ushindani kweli hatujui ila matokeo yako safi sana nadhani kama ni certificate njia nyeupe na hata dip pia tuombe mungu.
 
Tumesikia huko kulikuwa na ushindani kweli hatujui ila matokeo yako safi sana nadhani kama ni Certificate njia nyeupe na hata dip pia tuombe mungu.
Hebu nitupie contact zako mkuu ili tuwasiliane vizuri mkuu
 
Back
Top Bottom