KERO Wizara ya Afya itusaidie tulipwe fedha tunaofadhiliwa sekta ya Afya katika Vyuo Vikuu nje

KERO Wizara ya Afya itusaidie tulipwe fedha tunaofadhiliwa sekta ya Afya katika Vyuo Vikuu nje

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Tunaomba Serikali kuwalipa hela za matumizi na ada wafadhiliwa wa kada za ubingwa na ubobezi katika sekta ya afya wanaosomeshwa katika Vyuo Vikuu nje ya nchi.

Mwaka umepita tangu tumepatiwa hela za kujikimu. Tunaishi maisha magumu nje ya nchi kwa kucheleweshewa hela za matumizi.

Tunaomba Wizara ya Afya itusaidie tulipwe fedha za kujikimu na ada ya mafunzo kwa wakati.
 
Labda unwandikie mchengerwa maana yeye ndyo kama paymaster mkuu wa wizara zote

Huyo sirikal ameishika mkononi Kila wazir anamuogopa
 
Back
Top Bottom