Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wizara itoe taarifa sahihi kwamba kirusi hiki kipya kinaua hata kama ulichanjwa.Wizara ya Afya imesema hivi karibuni kumekuwa na tishio la kutokea Wimbi la Nne kutokana na taarifa za ongezeko la visa vipya na kuwepo kwa wasafiri wengi ndani na nje ya Nchi katika kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka
Kutokana na kuibuka aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho Omicron, kinachosemekana kuwa na uwezo wa kusambaa haraka, Serikali imesisitiza Wananchi kuendelea kujitokeza kupata chanjo
Pia, imehimiza uvaaji barakoa, unawaji mikono kwa maji tiririka na sabuni au kutumia vipukusi, kufanya mazoezi na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima
Serikali haiwezi sema ukweli ktk hili, na hajawahi kusema kweli tangu tupate uhuru.Wizara itoe taarifa sahihi kwamba kirusi hiki kipya kinaua hata kama ulichanjwa.
Serikali semeni ukweli
Hakuna mwenye jeuri ya kuishinda chanjoKirusi kipya cha korona ati chanjo haioni ndani. Ukichanjwa unaweza kuambukizwa au kuambukiza. INAFIKIRISHAView attachment 2025521
Unajua jinsi chanjo ya mRNA inavyofanya kazi? Soma nilichoandika kwenye #COVID19 - Let me get this straight about the COVID-19 vaccineHakuna mwenye jeuri ya kuishinda chanjo
Hivi habari kama hizi inakuwaje mnazisoma kutoka source kama hizi na hata kuweka link kama reference? Changamsheni akili wananchi wenzangu. Habari kama hizi zisome kwenye source za uhakika. Kwa yeyote aliyemaliza form four, kama anasoma habari kama hii kutoka huko ''uswazi'' basi ana shida kubwa. Kiingereza ni shida?Kirusi kipya cha korona ati chanjo haioni ndani. Ukichanjwa unaweza kuambukizwa au kuambukiza. INAFIKIRISHAView attachment 2025521
Bado ni mapema sana kujui undani wake. Wanasayansi duniani kote bado hawajajua impact yake kwa waliochanjwa ije kuwa wizara ya afya? Nilikuwa natoa tahadhari kuwa habari kama hizi msizisome kutoka kwenye source za uswazi kama hizo za kina Ayo kwani mna-mis big picture. Unaona kama hapo mnaponukuu huyo kilaza amesha-conclude kabisa hata chanjo hazifanyi kazi wakati ukisoma kutoka source za ''wenye akili'' wanasema ni wana concern kuhusu effectiveness ya chanjo!Wizara itoe taarifa sahihi kwamba kirusi hiki kipya kinaua hata kama ulichanjwa.
Serikali semeni ukweli
😂😂😂Au ubebe matunguliUchawi sio lazima upae na Ungo😂😂😂
Mdomo wako utachacha kwa ajili ya kulitaja jina langu.
Hahaaaaa......😆🤣Ni dua yangu kwamba wimbi hili lipite na "shahidi wa serikali"
The Covid psychopaths deserves to be hung LIVE on TV and the internet forWewe lazima uchanjwe
Sasa Kuna faida gani kuch anjwa,akili zingine matope kabisa.Wizara itoe taarifa sahihi kwamba kirusi hiki kipya kinaua hata kama ulichanjwa.
Serikali semeni ukweli