#COVID19 Wizara ya Afya: Kuna tishio la Wimbi la Nne la Virusi vya Corona

Bado hakuna amsha amsha za kutosha kuhamasisha watu wachanjwe South Africa wamechanja 34% wakati TZ hata 1% ya waliochanja haifiki.

Hii ina maana madhara ya hiki kirusi kipya yatakuwa makubwa TZ kuliko SA sababu waliochanjwa wachache sana.

TZ kuanzia mwezi January mpaka March 2022 tutaona madhara makubwa ya hiki kirusi kipya ambacho ni hatari kuliko Delta.

Chanjo zipo za kutosha wizara husika haifanyi efforts kubwa kuhamasisha watu wachanje mnamwachia Mama sio sawa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…