Wizara ya Afya: Mchakato wa chanjo umekamilika, itatolewa bure

Punguzeni na gharama za vipimo haiwezekani kipimo kiwe dola mia wakati nchi zote kwa wasafiri ni bure.
 
Samia na serikali yake naona wanazichezea ndevu za Corona. Udhibiti wa mipaka yetu ni sifuri, tutapukutika kama majani ya mti wa kiangazi. Leo taarifa ya kuja chanjo, jana ilikuwa taarifa ya kuanza ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza chanjo. Mitaa mijini imegeuzwa magulio, umati wa watu ni mkubwa sana na serikali inashangilia.
 
Kuna mahali hiz chanjo kwa shot moja ni laki6 na unatakiwa upate mbili full dozi ambayo ni Million 1.2...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…