Wizara ya Afya, mnawaachiaje watu wenye dalili ya Corona waendelee na shughuli zao?

Wizara ya Afya, mnawaachiaje watu wenye dalili ya Corona waendelee na shughuli zao?

Corona unaweza kumpima mtu usiione kwenye vipimo mpaka umpime tena wakati mwingine.

Hao hawakupaswa waachwe wandelee na shughuli zao, hao walipaswa wawe monitored closely huku wakiwa wamewekwa kwenye karantini maalum.

Kitendo cha kuwaachia waingie mtaani wanaweza kusambaza virusi kama wanavyo
Mkuu una taaluma ya udaktari?
 
Mnataka kulazimisha corona iwepo tz hata kama haijaingia?
wabongo huu ni usenge, harakati haziko hivyo.
 
tatizo mnashinda sana Kwenye facebook ,hamuangalii international news,mtakufa kama kuku mwenye kideli,marekani imepiga marufuku ndege zote kutua marekani,halafu sisi weusi tunasema tunaweza kuwapima na kuwaruhusu waendelea na shughuli zao real we are gorilla
Jmn si wamewafanyia uchunguzi wakagundulika hawana. Tatizo liko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom