jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Kwani waliwaweka kwenye karantini kwa siku 14?Jmn si wamewafanyia uchunguzi wakagundulika hawana. Tatizo liko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani waliwaweka kwenye karantini kwa siku 14?Jmn si wamewafanyia uchunguzi wakagundulika hawana. Tatizo liko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
PUMBAVU, PUMBAVU na PUMBAVU tena mara ya tatu.Cdm kila kitu siasa? Unafikiri wizara ya afya wapuuzi kama unavyowachukulia? Nchi haiwezi kuendeshwa kwa mihemko
Kwa hilo swali lako tu unaonesha tu jinsi uliyokuwa mjinga!Naomba nikuulize umesoma kozi gani ??na chuo gani.Kwa maelezo uliyoyatoa nimepata mashaka na elimu yako ndugu.
Jmn si wamewafanyia uchunguzi wakagundulika hawana. Tatizo liko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Wangewarudisha kwao
hiyo taarifa ni maelekezo ya mtu flani. Corona haifichiki.Issue hapa ninayoiona ni usalama wa nchi na fursa za kiuchumi hasa Utalii na mengine. Endapo tukatangaza kumshuku mtu kuwa anao tayari utavuta tension duniani kote kuwa Bongo tayari kumeshakucha Corona. Kwa hiyo, maamuzi hayo yamefanywa kwa kufikilia sn pia eneo hilo. Ingawa hoja ya kuongeza umakini na serikali kujipanga vzr kwa kuandaa maeneo ya kuwahifadhi hao suspects, vifaa tiba, maeneo ya vipimo nk ni muhimu sn viwe tayari tayari maana sisi sio kisiwa kischoingilika. Mungu atunusuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatulisha matango,
Majibu ya hivyo vipimo yanatakiwa yasubiriwe ndani ya siku 14 na ndiyo maana muhusika anawekwa karantini kwa siku hizo.Jmn si wamewafanyia uchunguzi wakagundulika hawana. Tatizo liko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri atakuambia wizara haina bajeti ya kuweka watu karantiniMwenyewe nimesoma hiyo habari sijamwelewa huyu waziri sijui tunaenda wapi jamani. yani tutakwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ile speech nilijiskia aibu kwa niaba yake.Ni heri ithibitike kuwa ipo ili watu waanze kutumia akili. Rais mzima anasema hata usiku msipigane mabusu na patakuwa na raha tu halafu anasema eti tunapambana na corona? Naona sasa wana show zao za kusalimiana kwa miguu!