Wizara ya Afya, mnawaachiaje watu wenye dalili ya Corona waendelee na shughuli zao?

Wizara ya Afya, mnawaachiaje watu wenye dalili ya Corona waendelee na shughuli zao?

Tume survive Ebola, Nzige....nina imani hata hili litapita.
 
You have a point somehow. Ila sasa itabid sasa kuwe na quarantine maalum kwa ajili ya jii issue
Corona unaweza kumpima mtu usiione kwenye vipimo mpaka umpime tena wakati mwingine.

Hao hawakupaswa waachwe wandelee na shughuli zao, hao walipaswa wawe monitored closely huku wakiwa wamewekwa kwenye karantini maalum.

Kitendo cha kuwaachia waingie mtaani wanaweza kusambaza virusi kama wanavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cdm kila kitu siasa? Unafikiri wizara ya afya wapuuzi kama unavyowachukulia? Nchi haiwezi kuendeshwa kwa mihemko
 
Hii ni hatari...

Huko Uinhereza kuna dada mmoja alitokea Italia, pamoja na kwamba hakuwa na dalili zozote wala udhaifu wowote, amechukuliwq vipimo na kawekwa chini ya uangalizi wakati majibu ya vipimo yakingojewa (majibu yanachukua muda kidogo kutoka kwa UK)
 
Ni mtaalamu wa sheria kama sijakosea...
Ujue hii nchi inaendeshwa Kiswahili swahili sana! Nchi za wenzetu mwenye kuonyesha dalili anakuwa in isolation angalau kwa siku 14. Huku kwetu eti vipimo vimepelekwa Dar leo kesho mtu anaruhusiwa kwenda na mambo yake.

Hivi huyu waziri wa afya taaluma yake ni mambo ya afya au? Maana unaweza kukuta ni fundi mchundo alafu anapewa wizara nyeti namna hiyo.
 
Back
Top Bottom