Dx and Rx
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,323
- 3,143
Mwaka jana nilifanya maombi 8 ya kazi Serikalini(Tamisemi na Afya), taasisi binafsi.
Nilipigwa kibuti sehemu zote, taasisi moja tu ya binafsi ndio walinipa mrejesho wa kunikataa japo kwa usahili, mrejesho wao kidogo ulikuwa unaumiza ila nilipiga moyo konde na nikaamua kukaa kimya bila kutuma maombi mengine kwa mwaka huo(2021).
Mwaka huu pia hadi sasa nimefanya maombi 7 ya kazi Serikalini Tamisemi (washanipiga kibuti) na Afya (kibuti ni kwa 99.9%), Taasisi 1 ya Binafsi tayari washanipiga kibuti, maombi mengine 4 ni kupitia Ajira portal juzi juzi ingawa kule ni sawa na kujaribu kupita tundu la Sindano. Ombi la 8 linalifanya muda si mrefu kuanzia sasa.
Japo kuna ushindani ila ninapoona classmate wangu wanauula kiulaini na wengine niliowaacha darasani wanauula, moyo unauma sana, sijui nakwama wapi, sijui mchawi ni nani.
Imagine classmate anapata kibarua kiulaini taasisi binafsi na hapo hapo ananyakuliwa na Tamisemi kiulaini