Wizara ya Afya na ninyi toeni hiyo PDF, najua mumenipiga kibuti kama TAMISEMI

Hao wizara ya afya wamezingua sana, ajira walitangaza tangu mwezi wa nne hadi leo kimya hawataki kutoa majina
 
subiria mkeka wa wizara, unaweza toboa, ingawa haujulikani unatoka lini.

Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
Usikate tamaa never never mim nmeingiaa enterview tulikua 750 utumishi nkawa wa pili kwa kupata 75 lakini kwenye practical nkashindwa kutoboa sababu nilivaa casual Mkuu never give up ipo sku tu utapata na bahati nzuri umesona afya lakin pia jaribu kufuta mtu akupe miongozo kuna mahali unaweza ikawa unakosea in Application process
 
Sio kweli
Koneksheni ina nafasi kubwa sana kila sehemu mkuu.
Fikiria hadi kwenye kupewa huduma, kwa wale wanaofahamiana na mtoa huduma wanapata huduma haraka tena ya kuridhisha sio kama wewe ambaye hufahamiki
 
Sawa mkuu ngoja tusubiri.

Huko Utumishi ulizinguliwa nini utupe uzoefu, nina application 4 zipo pending naweza kuitwa hata mojawapo
 

Ukimya umekua mwingi sana, something unfa
 
Imefikia takribani miezi miwili tangu tarehe ya mwisho kufanya maombi ya kazi za Wizara ya Afya. Kitaa kigumu, ninasubiri ahueni kama ikitokea kupata hizi kazi. Wizara fanyeni mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…