Wizara ya afya na watalam wa afya ya mlaji mnatowa elimu gani kuhusu hili?

Wizara ya afya na watalam wa afya ya mlaji mnatowa elimu gani kuhusu hili?

Joined
Nov 3, 2024
Posts
55
Reaction score
92
Kuna habari nilizisikia zamani na sasa pia nazisikia kuwa wafugaji wa nguruwe wanawapa nguruwe wao ARV ili wanenepe.Naomba kufahamu hii haina madhara kwa mlaji?Ninyi wahusika mmewahi kufatilia hili kujuwa ukweli na kuchukuwa hatuwa?
 
Hii nimeisikia sana na natamani kujua inafanyikaje?🤔
 
Sio kweli
Kupata hivyo vidonge sio kazi nyepesi kama kununua paracetamol
 
Kuna habari nilizisikia zamani na sasa pia nazisikia kuwa wafugaji wa nguruwe wanawapa nguruwe wao ARV ili wanenepe.Naomba kufahamu hii haina madhara kwa mlaji?Ninyi wahusika mmewahi kufatilia hili kujuwa ukweli na kuchukuwa hatuwa?
Mchakato wa digestion tumboni mwa mnyama hata wewe binadamu upoje?

Kwamba ukishakula chakula ama kutumia dawa zitabakia vile vile hata baada ya mchakato mzima wa digestion kupita?

Kwa wachinjaji wa ng'ombe na mbuzi nadhani na hao nguruwe, ninajua kuwa baada ya chanjo kuna siku lazima mfugo akae kabla ya kuchinjwa, .

Huo uvumi wa vidonge upo hadi kwa wafugaji wa kuku kunenepeshea.

Lakini nikitafakari mwili unavyochakata chakula, maji ama dawa ikishaingia tumboni, mi uoga wala wasi wasi huisha, nagonga tu misosi na kama kuku wa kisasa ndiyo kabisaa, huwa siachi kusaga miguu na mifupa yao, maana naelewa hakuna madhara yoyote.
 
Kuna Wafugaji wanakua na connection na hao wahudumu wa CTC

ni kweli wanawapa, ili wanenepe na wasikumbwe sana na magonjwa.
Kwa lugha nyingine hao nguruwe ni waathirika wa UKIMWI
 
Siyo nyepesi kivipi yaani?

Kuzipata hizo dawa sio rahisi ht mwathirika anapewa kulingana na maendeleo ya afya yake
Nan atakubali kutoa hizo dawa kwa matumizi yasiyo sahihi
Pia inawezekana nguruwe kupata madhara endapo akilishwa hizo dawa, kwa kifupi Zina side effect hata kwa binadamu mojawapo ni dizziness
 
Back
Top Bottom