usimamizi mbaya
Member
- Nov 3, 2024
- 55
- 92
Mnyororo wa chakula hauna msimamizi. Chukua hatua binafsi.Kuna habari nilizisikia zamani na sasa pia nazisikia kuwa wafugaji wa nguruwe wanawapa nguruwe wao ARV ili wanenepe.Naomba kufahamu hii haina madhara kwa mlaji?Ninyi wahusika mmewahi kufatilia hili kujuwa ukweli na kuchukuwa hatuwa?
Kuna habari nilizisikia zamani na sasa pia nazisikia kuwa wafugaji wa nguruwe wanawapa nguruwe wao ARV ili wanenepe.Naomba kufahamu hii haina madhara kwa mlaji?Ninyi wahusika mmewahi kufatilia hili kujuwa ukweli na kuchukuwa hatuwa?
Hakika.wizara itowe ufafanuzi.Hawa wafugaji huwa wanachanganya ARV kwenye chakulaHii nimeisikia sana na natamani kujua inafanyikaje?🤔
Uthibitisho ni upi mkuuHakika.wizara itowe ufafanuzi.Hawa wafugaji huwa wanachanganya ARV kwenye chakula
Kuna Wafugaji wanakua na connection na hao wahudumu wa CTCSio kweli
Kupata hivyo vidonge sio kazi nyepesi kama kununua paracetamol
Mchakato wa digestion tumboni mwa mnyama hata wewe binadamu upoje?Kuna habari nilizisikia zamani na sasa pia nazisikia kuwa wafugaji wa nguruwe wanawapa nguruwe wao ARV ili wanenepe.Naomba kufahamu hii haina madhara kwa mlaji?Ninyi wahusika mmewahi kufatilia hili kujuwa ukweli na kuchukuwa hatuwa?
Siyo nyepesi kivipi yaani?Sio kweli
Kupata hivyo vidonge sio kazi nyepesi kama kununua paracetamol
Kwa lugha nyingine hao nguruwe ni waathirika wa UKIMWIKuna Wafugaji wanakua na connection na hao wahudumu wa CTC
ni kweli wanawapa, ili wanenepe na wasikumbwe sana na magonjwa.
Siyo nyepesi kivipi yaani?