Usitumie nguvu kubwa sana kutuaminisha kuhusu Chanjo! Tumesha kubaliana Chanjo ni hiyari,wwe choma piga kimya Maisha yaendelee! Kesho ingia road upate kipigo cha Mbwa kokoo na Chanjo yako begani labda inaweza kukusaidia kupona majeraha ya kipigo haraka!!Huree!
Mambo yamewiva SSH isingekuwa kutukwaza kizembe, alistahili pongezi zetu na mikumi mingine ya dhati. Jumbe Brown isome hii vyema.
Jumatatu 2 Aug mimi na jamaa zangu, mtu kama 40 tunatia timu, mimi ku sign form yangu ya utayari wa kupata chanjo na wao zao.
Bila kukosa inshallah 3 Aug na barakoa langu katika wa mwanzo kupata yale mambo yetu ya Janssen.
Waziri wa afya na wizara nzima ya afya tambueni mlitukwaza sana na kwa hakika hamkuwa mmetundea haki kwa msimamo wenu kuhusu ugonjwa huu.
Msiache kukumbuka pia kwa misimamo na porojo zile wengi wasio na hatia walipoteza maisha.
Hata hivyo nitakosa shukurani kutokusema hatimaye asanteni sana.
Tulipo sasa tunaweza kukodolea mambo ya katiba mpya tukiwa vifua mbere!
Kamanda Mbowe atuandalie makazi ya kudumu tu huko Segerea. Awashauri na Stadiums zote kuziandaa kuwa magereza. Tunakuja kwa makumi elfu kama siyo malaki au mamilioni.
Baada ya chanjo Mungu atupe nini tena?
View attachment 1875108
View attachment 1875111
Ninawasilisha.
Usitumie nguvu kubwa sana kutuaminisha kuhusu Chanjo! Tumesha kubaliana Chanjo ni hiyari,wwe choma piga kimya Maisha yaendelee! Kesho ingia road upate kipigo cha Mbwa kokoo na Chanjo yako begani labda inaweza kukusaidia kupona majeraha ya kipigo haraka!!
Wwe akili zako ziko Kama za Mdude!!Siaminishi Mburula.
Wito rasmi waambie waongeze magereza:
Chanjo inaposubiriwa huku Uhasama Ukitamalaki
Ni wazi kuwa kwa makamanda wengi suala la chanjo ni muhimu lililokuja likiwa limechelewa mno. Inafahamika kuwa Chanjo hii imetufikia kutokea kwa tulioaminishwa kuwa ndiyo walio wachawi wetu wakuu yaani mabeberu. Ni barakoa, PPEs, sanitizers nk? Vyote vikinasibishwa na upigaji wa mchawi beberu...www.jamiiforums.com
Si tulishakubaliana kila mtu abakie na m@vi yake?
Kwan katiba mpya mwenyewe anasemaje.?
Wwe akili zako ziko Kama za Mdude!!
Tuliambiwa zimekuja chanjo 1,000,000
Watanzania wapo 50+ Mil
Watagawanaje?
Komredi Kongole sana kwa UAMUZI huo kuntu ....Huree!
Mambo yamewiva SSH isingekuwa kutukwaza kizembe, alistahili pongezi zetu na mikumi mingine ya dhati. Jumbe Brown isome hii vyema.
Jumatatu 2 Aug mimi na jamaa zangu, mtu kama 40 tunatia timu, mimi ku sign form yangu ya utayari wa kupata chanjo na wao zao.
Bila kukosa inshallah 3 Aug na barakoa langu katika wa mwanzo kupata yale mambo yetu ya Janssen.
Waziri wa afya na wizara nzima ya afya tambueni mlitukwaza sana na kwa hakika hamkuwa mmetundea haki kwa msimamo wenu kuhusu ugonjwa huu.
Msiache kukumbuka pia kwa misimamo na porojo zile wengi wasio na hatia walipoteza maisha.
Hata hivyo nitakosa shukurani kutokusema hatimaye asanteni sana.
Tulipo sasa tunaweza kukodolea mambo ya katiba mpya tukiwa vifua mbere!
Kamanda Mbowe atuandalie makazi ya kudumu tu huko Segerea. Awashauri na Stadiums zote kuziandaa kuwa magereza. Tunakuja kwa makumi elfu kama siyo malaki au mamilioni.
Baada ya chanjo Mungu atupe nini tena?
View attachment 1875108
View attachment 1875111
Ninawasilisha.
Huo ni mzigo wa kwanza....Tuliambiwa zimekuja chanjo 1,000,000
Watanzania wapo 50+ Mil
Watagawanaje?
Komredi Kongole sana kwa UAMUZI huo kuntu ....
Wewe na wadau wako tutaungana pamoja kama watanzania waliouelewa vyema ufafanuzi wa mh.Rais SSH na mh.Waziri wa afya Dr.Gwajima kufikia UTAYARI WETU HUU....
Si pekee aliyetoa ufafanuzi kuntu ,hata mh.Mbowe na wadau wengine walibainisha kinagaubaga umuhimu huo wa chanjo.....
Kama taifa ,kuhusu chanjo yaliyopita si ndwele tugange yajayo.........
Kudos kwa uzalendo wako kuntu!!!
#NamiNitajitokezaKuchanjwa
#NamiNitawaungaMkonoTukachanjweSote
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
#NchiKwanza
#SiempreSSH
#KaziIendelee