RaisMarangu
Senior Member
- Oct 18, 2013
- 124
- 37
swali vipimo vya malaria katika hosp za serikali havifanyi kazi au nimekutana na changamoto hiii naambiwa sina malaria nina blood infection, mpaka nilipojikuta ICU hosp fulani nikakutwa na malaria 4147 nipo tayari kushirikianq nanyi tuokoe wengiNdugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu na Ushauri mnaotupa kila siku. Kupitia thread hii, tutapokea maoni, Ushauri, na malalamiko yenu. Tunawahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.
Unaweza kututumia pia Private Message(PM) na utajibiwa kwa haraka sana.
Fuatilia ukurusa rasmi wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazeena Watoto (Idara Kuu Afya) wa Jamii Forums (Wizara ya Afya Tanzania) kupatea habari mbalimbali kuhusu Sekta ya Afya Nchini Tanzania.
Tufuatilie pia kwenye mitandao yetu ya:
Instagram @wizara_afyatz
Twitter @wizara_afyatz
Facebook “Ministry of Health, Gender, Elderly & Children”
Website www.moh.go.tz
Official Blog www.afyablog.moh.go.tz
Barua pepe mawasiliano@afya.go.tz
Anuani
S.L.P 743 Dodoma
Tanzania
#TunaboreshaSektayaAfya
View attachment 1588107
aiseNataka kuzaa sina mwanaume kuna sperm bank hapa tz??
Ni bure kiongozi, na wazee kuazia miaka 65 ni bure ingawa hapa inaangalia na appearance yako kama kweli ni maskin au laa ☺️☺️Je ni kweli kwamba kwa sasa huduma za kwa watoto chini ya miaka mitano sio bure tena?
Hapa walikuwa sahihi tu mkuu, maana ulitaka uwadondoshee jumba bovu.Nimeenda JKCI kuomba nipewe dawa zangu za mwezi ingawa haujatimia tangu nipewe sababu nilipata ajali zikatumbukia mtoni
Wamekataa na kuniambia niandike barua kwa Mkurugenzi ******* ambaye muda wote yupo kwenye makongamano nk hakuwepo na hakuna msaada ingawa NHIF nimelipia 1300000- kwa mwaka
Bure kabisa
Oyaa toka hapo sebuleni kwa shemeji yako uliponing'iniza poumbou uende ukajishughulishe.Inakuwaje hospitaali binafsi zinakuwa na dawa ila Kwenye hospitali, vituo vya afya na zahanati zenu mbona hakuna dawa wakati wananchi wanalipa kodi?
Dawa pekee ambayo uhakika ni paracetamol tu shida nini?
Hiyo ni kama kodi ya kichwa kimtindo kwa hospital za Serikali ndio maana Bima zao zinakua na changamoto kubwa wamerundika Tozo nyingi nyingi tu..ukienda Hospital za rufaa ndio utashangaa hizo Tozo kama unatibiwa nje ya Nchi..Wizara Kwa wengi, wanaomba hii gharama ya elfu kumi(10,000/)Kumuona daktari,ifutwe Maana mtu anaumwa Tena hana uhakika wa gharama zingine Bado nauli,madawa,vipimo nk.
USHAURI:Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu na Ushauri mnaotupa kila siku. Kupitia thread hii, tutapokea maoni, Ushauri, na malalamiko yenu. Tunawahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.
Unaweza kututumia pia Private Message(PM) na utajibiwa kwa haraka sana.
Fuatilia ukurusa rasmi wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazeena Watoto (Idara Kuu Afya) wa Jamii Forums (Wizara ya Afya Tanzania) kupatea habari mbalimbali kuhusu Sekta ya Afya Nchini Tanzania.
Tufuatilie pia kwenye mitandao yetu ya:
Instagram @wizara_afyatz
Twitter @wizara_afyatz
Facebook “Ministry of Health, Gender, Elderly & Children”
Website www.moh.go.tz
Official Blog www.afyablog.moh.go.tz
Barua pepe mawasiliano@afya.go.tz
Anuani
S.L.P 743 Dodoma
Tanzania
#TunaboreshaSektayaAfya
View attachment 1588107
Kupima Corona shs ngapi kwa sasa?