Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,187
- 1,914
Hasa chadema wanaipenda sana chanjo!Nendeni mkachanje muwe machoko
Kumbe wana siri nyuma ya pazia ya kutaka kuwa mapunga!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasa chadema wanaipenda sana chanjo!Nendeni mkachanje muwe machoko
Nasikia unatamani kuwa choko?Yako machache bado yamebakia likiwamo hili Lorenzo Samike. Yamejawa ujinga uliopitiliza. Madhara ya wazi hasi ya sera za kufikirika za awamu ile:
Madhara ya Awamu ya Tano yanayofumbiwa Macho
Mabibi na mabwana awamu ya tano imepita na sasa kazi inaendelea katika awamu ya sita chini ya Rais Samia. Kwamba tupo awamu ya sita itakuwa kutojitendea haki mno kutoyaangazia kabisa madhara ya awamu ya tano kwa awamu ya sita yote chanya na hasi. Kwa uzi huu itoshe kuyaangazia madhara hasi ya...www.jamiiforums.com
Hata unajua chanjo ni nini basi.Acha uvivu kijana..,..Do your homework, or jiandae kudungwa "chanjo la majaribio"[emoji382][emoji3459]
Hata unajua chanjo ni nini basi.
Umeeleza kitaalamu ila mburula wa JF hawataki analysis ya kitaalamu,wanakimbilia kupinga tuCDC definition of Vaccine: Is a product that stimulates a person’s immune system to produce immunity to a specific disease, protecting the person from that disease.Thus, The so called Covid-19 vaccine is NOT a vaccine at ALL!! because;
1). These covid-19 vaccines doesn't provide innoculated individual with protection against corona virus.
2).Covid-19 vaccines does not prevent the spread of the disease.
Therefore, Covid-19 vaccines does NOT MEET the CDC definition of Vaccine.
Watanzania AMKENI!!.
Ifahamike tu madhara ya sasa na ya baadae yatokanayo na hii "experimental vaccines" ni makubwa sana kuliko hata ya kutokuchomwa au ya ugonjwa wenyewe.Umeeleza kitaalamu ila mburula wa JF hawataki analysis ya kitaalamu,wanakimbilia kupinga tu
Maana haya ndo Mambo muhimu ya kujiuliza.
Kwanini mtu achanjwe hii chanjo?
Jibu litakuwa ni kumkinga asiambukizwe Corona.
Je akichanjwa hataambukizwa Corona? Jibu ataambukizwa tu.
Sasa chanjo ya Nini?
Je mtu akichanjwa hawezi kufa kwa corona? Jibu anaweza kufa.
Swali kwanini uchanjwe sumu ambayo inaweza kumletea madhara au akipata madhara Serikali yake itamsaidia? Hapana serikali haitahusika check consent form inajieleza.
Sasa chanjo hi ni kwa ajili ya Nini Mburula kujikinga[emoji3][emoji3]
Watanyoosha maelezo tuuu.Serikali ilianza kwa kututisha kwamba chanjo ya corona ni hatari kuliko corona na sisi wananchi tulishatishika kabisa tukawa tiiii.sasa kuturejesha tena kwamba chanjo iko vizuri,inabidi mkakati mwingine utumike.Yaani Raisi SHS mwenyewe alisemee hili kwa nguvu zaidi kama wamejiridhisha kwamba kwamba hiyo chanjo iko salama.Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa maelezo kuhusu chanjo ya corona kama ifuatavyo, ambapo imewahakikishis wananchi kuwa chanjo iliyoletwa nchini ni salama kwani wataalamu wamejiridhisha.
View attachment 1866020
Una kiwango gani cha elimuUmeeleza kitaalamu ila mburula wa JF hawataki analysis ya kitaalamu,wanakimbilia kupinga tu
Maana haya ndo Mambo muhimu ya kujiuliza.
Kwanini mtu achanjwe hii chanjo?
Jibu litakuwa ni kumkinga asiambukizwe Corona.
Je akichanjwa hataambukizwa Corona? Jibu ataambukizwa tu.
Sasa chanjo ya Nini?
Je mtu akichanjwa hawezi kufa kwa corona? Jibu anaweza kufa.
Swali kwanini uchanjwe sumu ambayo inaweza kumletea madhara au akipata madhara Serikali yake itamsaidia? Hapana serikali haitahusika check consent form inajieleza.
Sasa chanjo hi ni kwa ajili ya Nini Mburula kujikinga[emoji3][emoji3]
Una elimu gani nduguExactly!Ifahamike tu madhara ya sasa na ya baadae yatokanayo na hii "experimental vaccines" ni makubwa sana kuliko hata ya kutokuchomwa au ya ugonjwa wenyewe.
Hii nchi ukifuatlia Sana utakufa kwa Stress.hapa panawafaa.wapumbavu tuWizara ya afya is the mess ,,yaani badala wizara ichukulie suala la afya kwa uzito wake ,inalichukulia suala hili kisiasa,,embu angalia walivyo kurupuka kuzuia mikusanyiko ile ya katiba na siku zote walikua kimya,,embu angalia suala la simba na yanga huko kigoma,,mbona halizungumziwi hilo,au simba na yanga si mikusanyiko, na lipi kusanyiko kubwa..
Waziri mkuu siku 2 zilizopita alisema tuna wagonjwa wachache halafu Waziri wa Afya akatuambia wameongezeka ni 682 sasa tufuate yapi....unatakiwa utulie uache kufuatilia vitu kwa undani, unaweza ukachangayikiwa kabisa🤣Hii nchi ukifuatlia Sana utakufa kwa Stress.hapa panawafaa.wapumbavu tu
Damu ya Watanzania haitawaacha salama na kizazi Chao hawa waliojitoa ufahamu ili kuleta madhara kwa maslahi yao.Exactly!Ifahamike tu madhara ya sasa na ya baadae yatokanayo na hii "experimental vaccines" ni makubwa sana kuliko hata ya kutokuchomwa au ya ugonjwa wenyewe.
Lichanjo la majaribio ya vinasaba hilo labda mkawachome ng’ombe, pumbavu kabisa.Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa maelezo kuhusu chanjo ya corona kama ifuatavyo, ambapo imewahakikishis wananchi kuwa chanjo iliyoletwa nchini ni salama kwani wataalamu wamejiridhisha.
View attachment 1866020
Mdau kauliza swali, Chanjo ni nini? Halafu jiulize kama hiyo inaangukia kwenye tafsiri ya chanjoHuo ndiyo ulio ukweli wenyewe kuhusu hizi chanjo. Ila wasubiri waje wale mburumundu. Hasa hili hapa Niza doyi
A serious Joke.. na Serikali haitawajibika kwa vyovyote kutokana na madhara ya chanjo.. [emoji848]Lichanjo la majaribio ya vinasaba hilo labda mkawachome ng’ombe, pumbavu kabisa.
Hiyo chanjo au utani? Yaani ukichanjwa bado utapata maambukizi na bado utaambukiza wengine, seriously? Is this a joke?!!!
Una kiwango gani cha elimuLichanjo la majaribio ya vinasaba hilo labda mkawachome ng’ombe, pumbavu kabisa.
Hiyo chanjo au utani? Yaani ukichanjwa bado utapata maambukizi na bado utaambukiza wengine, seriously? Is this a joke?!!!