#COVID19 Wizara ya Afya Tanzania: Usiyoyajua kuhusu chanjo ya COVID-19

#COVID19 Wizara ya Afya Tanzania: Usiyoyajua kuhusu chanjo ya COVID-19

They said ni Johnson and Johnson
Mtuambie wazi ni chanjo aina gani mmepokea. Mbona haitajwi au mmepokea ile ya Jobnson na Astrazenica??
Wekeni wazi ili tujue na kuamini uwezo wake.
Sio watu zinaanza kugandisha damu na hospitali zetu hatuna uweze wa kudhibiti tutauana !
 
CDC definition of Vaccine: Is a product that stimulates a person’s immune system to produce immunity to a specific disease, protecting the person from that disease.Thus, The so called Covid-19 vaccine is NOT a vaccine at ALL!! because;

1). These covid-19 vaccines doesn't provide innoculated individual with protection against corona virus.

2).Covid-19 vaccines does not prevent the spread of the disease.


Therefore, Covid-19 vaccines does NOT MEET the CDC definition of Vaccine.


Watanzania AMKENI!!.
Hapo hakuna chanjo ni kupewa virus vya corona tu, chanjo ni lazima ikukinge dhidi ya ugonjwa fulani, wao wanasema hiyo chanjo haizuii maambukizi sasa wanataka watuchanje ili iweje?
 
Toa evidence ya ulichokiandika. Yaani unatoa Malibu bila ya maswali.shida kubwa ni pale Wasiokuwa wataalamu kuleta hoja za mawazo yake. Hivi unajua kwanini Kuna sehemu inaitwa shule?
.
Hauna akili kabisaa wewe.
 
Wizara ya afya is the mess ,,yaani badala wizara ichukulie suala la afya kwa uzito wake ,inalichukulia suala hili kisiasa,,embu angalia walivyo kurupuka kuzuia mikusanyiko ile ya katiba na siku zote walikua kimya,,embu angalia suala la simba na yanga huko kigoma,,mbona halizungumziwi hilo,au simba na yanga si mikusanyiko, na lipi kusanyiko kubwa..

vitu vingine jitahidi kushirikisha ubongo
 
Tatizo hawa watalamu wanasura mbili; TAALUMA na siasa hapo hapo hivyo kuna wakati unashindwa kutofautisha siasa(uongo) na taaluma mfano walituaminisha kuwa Dawa asili ndio Tiba sahihi kwa Homa ya korona leo hao hao wanapinga tiba asili
 
Kwa Hilo tangazo la WATU wa afya naona binafsi linamapungufu makubwa,
1); chanjo haizuii aliyechanjwa kuambukizwa ila inarahisisha kumtibu kama akipata maambukizi.
Ni Kwa asilimia ngapi huo uponyaji upo? Km haieleweki, je itakuwa na tofauti gani na kutokuchanjwa?
Mbona tumeshuhudia hata sisi tusiochanjwa tunaugua na kipona corona km hao marobot waliofanyiwa chanjo?
Tusidanganyane! Tulitegemea anaechanjwa asiambukizike corona na sio vinginevyo!
 
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa maelezo kuhusu chanjo ya corona kama ifuatavyo, ambapo imewahakikishis wananchi kuwa chanjo iliyoletwa nchini ni salama kwani wataalamu wamejiridhisha.

View attachment 1866020
Hiyo statement ya wataalamu wamejiridhisha ni uhuni mwingine, how sure are we na uadilifu, weledi, uwezo wa hao wataalamu? Kwa nini serikali haisemi "serikali ya Tanzania imejiridhisha" mwisho wa siku mambo yakienda kombo wanaumizwa watu wengine kwa kisingizio cha wataalamu
 
Back
Top Bottom