Wizara ya Afya yapiga marufuku watu kuzikwa usiku, yaagiza ndugu washirikishwe

Wizara ya Afya yapiga marufuku watu kuzikwa usiku, yaagiza ndugu washirikishwe

Kwa bahati mbaya tu siwezi kukumbuka post ambazo ulichangia na ukawa unaoinga vikali kwamba zile picha na video siyo za tanzania.

Halafu mimi nazungumzia picha na video za makaburini usiku.
Kwani ni uongo si mnatengeneza video kila siku?
 
Hao waliozikwa usiku ni wale 16? Nadhani jibu ni hapana! Hapo za kuambiwa changanya na zako!
 
Kwani aliekua ameagiza hayo mazishi yafanyike usiku alikua ni nani?
 
Back
Top Bottom