Wizara ya Afya yapiga marufuku watu kuzikwa usiku, yaagiza ndugu washirikishwe

Kipindi hiki mbona mengi tutayasikia
 
Mmechelewa Sana km Wizara mpk Mange aendeshe kampeni ya kuwaumbua ndiyo mnajitokeza. Kiukweli wanaitajika wakina Mange wengi ili kuipasha Moto nchi.
 
Huu uzi ni sumu kwa Bia yetu johnthebaptist magu2016 Drone Camera na buku 7 wengineo. Hebu muwatag waje hapa maana walikuwa mstari wa mbele kusema eti zile video za tanzania.

Njaa mbaya sana.
Nashukuru kwa kunitag.Pia video nilioona ni ile ya kariakoo. Halafu kwa nini mnataka kila mtu aonekane na mtazamo kama wenu.Yaani mtu akiwa na mawazo tofauti na yaliyo vichwani mwenu anaonekana mganga njaa anayelipwa.

Perception mbovu sana hiyo.Nishakwambia kazi yangu haihusiani vyovyote vile na siasa.Nipo sekta binafsi,na pato langu si baya.
 
kumbu kulikuwa na kamchezo kuichafua serikali
 
Umesema neno hata mungu kakusikia, hawa wanasiasa ni laana tul
 
Wengi ya hao , bia yetu nk. Ni waajiriwa wapuuzeni ni bendera fuata upepo hasa
 
Jamani makofi matatu kwa korona, inamega kule kule juu, tuende tuu akili zitawapata, sisi kufa na kuzikwa tumezoea, sasa wao kifua india mafua marekani, poooo corona hiyo tuko wote hapa , corona hoyeeee
 
Hivi kuna nchi nyingine raia wake hawanathamani kama tz? Mbona tunasikia na kuona nchi nyingine raia wanaobwa samahani pale serikali inapokosea au kunapokuwa na sitofahamu. Hivi watu ambao wapendwa wao walizikwa usiku wanajisikia baada ya zuio hilo wakati wao yameshawakuta. Kwanini hatuambiwe so far watu wangapi wamezikwa usiku na sababu ilikuwa nini?
 
Sasa wakati zoezi linaendelea wao walikuwa wapi?..
Ina maana wazikaji walijiamulia Tu kuzika usiku?
.... hawakutarajia Covid-19 ingechukua vigogo kwa kasi iliyoshuhudiwa siku za hivi karibuni. Sasa wakagundua vigogo watazikwaje kimya kimya? Hakuna namna basi wakaona watengue utaratibu wa awali ili wanyonge nao wazikwe nuruni ili kupunguza malalamiko na kuepusha jamii kuhoji double standards! So, sio kwa bahati mbaya ila issue ime back-fire!
 
Hapa ndio utaona Mh.Mbowe alikuwa sahihi kwa kuwabutuwa CCM kule Bungeni.

Hadi Mkuu kaibuka tena Kule chato kulihutubia Taifa na kuongea kwa hasira akionesha kutofurahishwa na badhi ya mambo.

Sasa karibuni hivi Simba na yanga nazo zitaingia uwanjani kuleta Burudani ya Mpira.

Hongereni wakosoaji wote ,musiache kutimiza wajibu wenu kuliokoa taifa hili.

Kelele nazo zina faida yake kwa Viziwi, japo huwa hawasikii, lakini huona midomo ikicheza cheza na kubaini kuwa kuna tatizo hapa,

Hongera Mh.Mbowe, Kigogo19, Pascal Mayala, Na wengine wengi humu ndani.
 
Kwa bahati mbaya tu siwezi kukumbuka post ambazo ulichangia na ukawa unaoinga vikali kwamba zile picha na video siyo za tanzania.

Halafu mimi nazungumzia picha na video za makaburini usiku.
 
Tanzania itabadilika kwa kelele tu, wala si kwa binduki. Si mkuu tu hata spika wa bunge nilimsikia akipanik vibaya sana alipohojiwa kuhusu Mbowe na Company kutohodhuria vikao vya Bunge.

Kelele zitawatoa walioshimoni wote na kutapika walioyaficha. Janga kama hili unafanya mzaha.

Kweli nimeamini kuwa CCM NI WEPESI SANA, NA JANGA HILI LITAWAONDOA MADARAKANI.

CCM OUT! NNJE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…