Wizara ya Ardhi isitafute visingizio kuibia raia

Wizara ya Ardhi isitafute visingizio kuibia raia

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Katika miezi ya karibuni mahakama za ardhi kwa kushirikiana na maafisa ardhi wa miji na majiji wamekuwa wakifungua kesi kwa wamiliki wa majengo na viwanja.

Kinachofanyika ni ofisi za ardhi kutengeneza madai ya miaka mingi nyuma ambayo wao hawajarekodi kwenye mifumo mipya ya wizara.

Mteja akishindwa kuwasilisha risiti hizo za nyuma anapigiwa hesabu na akishindwa kulipa anapelekwa mahakama ya nyumba.

Kibaya zaidi ni kuwa ulkipeleka pungufu baina ya miaka basi wanachukua zile za nyuma pekee.Za mbele yake wanawacha wanasema watajaza nini kwenye mfumo.Jee hiyo ni haki au ni wizi wa kimfumo.

Kwaanini wasikubali kuwajibika kwa uzembe wa kupoteza kumbukumbu au kwa uvivu wa kutafuta kumbukumbu na kujaza kwenye mifumo yao mipya.
 
Halafu migogoro ya ardhi Mbona hawaishughulikii na kuisha kwa wakati?

Unakuta miaka nenda wahuni wanatumia maeneo ya watu wakati wenyewe halali wanendelea kulipa mikopo na riba kwa miaka nenda rudi ?
 
Back
Top Bottom