Wizara ya Elimu acheni kuwa madalali wa Scholarship za Ubalozi

Nice.

Ni huzuni kwamba Watanzania tunaogopana na tunaona bora ku deal na wageni.

Tatizo scholarship zinapelekwa wizarani huko kama sehemu ya kuanzia na kuwekewa vigezo vingine tofauti na vinavyotakiwa na ubalozi.
 
Ngozi nyeusi tuna tabu sana
 
Tujifunze lugha na kutengeneza appointments kwa wahusika sio watanzania kabsa.
Sasa kama watu wa serikali wamelazimisha mchakato wa scholarship uanzie wizarani, na wizarani hakuna mtu anayejua Kirusi, ukijifunza Kirusi kitakusaidia nini wizarani huko ambako unatakiwa uanze process ya kuomba scholarship?

Wewe unaenda wizarani si mfanyakazi wa serikali, Warusi hawajatoa kigezo uwe mfanyakazi wa serikaki, wizarani wameongeza kigezo cha kuwa mfanyakazi wa serikali. Hapo kujua Kirusi kutakusaidia vipi?

Umesoma uzi au unakuja na habari zako tofauti?
 
Wanataka vijana wetu waishie kusoma vyuo vya kata!!
 

Attachments

  • VID_23830503_083929_007.mp4
    12.2 MB
  • VID_23830427_202822_084.mp4
    11.6 MB
"60% ya Watumishi wa umma hawana uwezo "-Retired CAG Asad
 
Safi sana Mkuu! Nimezungumzia kuwa ukienda kwenye ofisi za mabalozi na ukakutana na wale watu wa mapokezi watakuambia kuwa uende Wizarani huko ndipo kuna maelekezo yote! Sasa nikasema ni vyema mtu akakutana na wahusika wa uongozi sio mapokezi au wabongo! Sidhani kama kuna sehemu nimesema kwamba kufahamu lugha kutasaidia moja kwa moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…